Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yeah! Ni lazima nikiri. Mkeo ana mvuto wa aina yake. Ndo maana ni celebrity hapa JF. Nilikuwa tayari kuuza mashamba yangu ya nyanya kabisa kisa tu nimeona avatar ya mwanamke mweupe amekaa kitini. Wajua tena sisi wanakolomije na wanawake weupe. Wivu wako uliopitiliza kimo uliniokoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaishee mkuu ....

Msifie aganza
 
Ha ahhahahaha, mwanamke mweupe ukashindwa kuuza mashamba ya nyanya Hongera. Mimi niliwahi kutokomea na hela za sanda, yaani ilibidi marehemu azikwe na shuka la hospital

*NB: sio mimi mimi, ni mjombaangu*
 
[emoji15] [emoji15] this is not fear!!! Nyie ndioo mnaosababisha wanawake wajichubue[emoji87]
 
Yeah! Ni lazima nikiri. Mkeo ana mvuto wa aina yake. Ndo maana ni celebrity hapa JF. Nilikuwa tayari kuuza mashamba yangu ya nyanya kabisa kisa tu nimeona avatar ya mwanamke mweupe amekaa kitini. Wajua tena sisi wanakolomije na wanawake weupe. Wivu wako uliopitiliza kimo uliniokoa [emoji23][emoji23][emoji23]
ila msukuma zamani ulikua haupo hivi kabisa hivi unakumbuka kipindi sijafunga pm tulikua tunachat sana sijui kama unakumbuka
 
4/Amelia Earhart
0e2761bef20da43417e2a2f865c68c2c.jpg
598a57fa63e377d7a3a95b61385492e0.jpg

Alizaliwa July 1897 Kansas USA
Alikuwa ni mtunzi wa vitabu na rubani
Alitoweka July 2 1937 pamoja na ndege huko Kusini mwa bahari ya Pasifiki wakati alipojaribu kuizunguka dunia(circumnavigate)
......
 
mjomba ako yupiii binamu [emoji15]

Ni huyu huyu unayemjua wewe, muulize vizuri. Maana alitokomezwa na alipoonekana tayari tumeshaanua matanga. Ikabidi tu atulie ndo kumpata cheusi (hii ni kabla hajakupata wewe)

Happy nakupa historia, mambo ya zamani sio ya sasa usijefanya ishu ukanigombanisha na anko wangu
 
Back
Top Bottom