Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Glenn Miller
f138908923c2094c1001c685e8634bee.jpg

Alizaliwa Machi 1904
Alikuwa ni mwanamuziki wa Jazz na kiongozi bendi moja kubwa nchini Marekani....Moja ya vibao vyake ni In The Mood
Alitoweka Disemba 15 1944 wakati akitokea England kwenda Ufaransa kuongeza nguvu kwenye Ukombozi wa Paris
......
Aisee watu kama hawa ni wa kuheshimiwa sana
 
5/Antoine de Saint Exupery
5cd587d56921b27c34d4e48595810702.jpg

Huyu alizaliwa June 1900
Alikuwa ni mwanahabari,mwandishi wa vitabu na ushauri....Moja kati ya vitabu vyake ni The Little Prince
Alitoweka July 31 1944 wakati akiendesha ndege kwenye anga la bahari ya Mediterrania(alikuwa pia ni rubani)
Mwaka 1998 mwili usiotambulika uliokuwa umevaa vazi lenye utambulisho wa Ufaransa ulipatikana
Pia mwaka 2000 lilipatikana bracelet
.......

 
Yaan shida tupuuuuu....

Ila tutafikaa japo na wew ilinichukua mda kukuzoeaa make moto wako ulikuwa sio wa kitoto
Yeah! Ni lazima nikiri. Mkeo ana mvuto wa aina yake. Ndo maana ni celebrity hapa JF. Nilikuwa tayari kuuza mashamba yangu ya nyanya kabisa kisa tu nimeona avatar ya mwanamke mweupe amekaa kitini. Wajua tena sisi wanakolomije na wanawake weupe. Wivu wako uliopitiliza kimo uliniokoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom