Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] aaa wapi siwezagi mie hayo mamboUsiogope, wewe jichubue tu tena ujibleach kabisa hapo mvuto kama kusamehe kibiblia 7x70
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] aaa wapi siwezagi mie hayo mamboUsiogope, wewe jichubue tu tena ujibleach kabisa hapo mvuto kama kusamehe kibiblia 7x70
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio km soka LA bongo?!
hivi binamuuu we una mpango gani wa mimi na mjomba ako hivi ninavyokulalamikia kwako burudani kabisaNi huyu huyu unayemjua wewe, muulize vizuri. Maana alitokomezwa na alipoonekana tayari tumeshaanua matanga. Ikabidi tu atulie ndo kumpata cheusi (hii ni kabla hajakupata wewe)
Happy nakupa historia, mambo ya zamani sio ya sasa usijefanya ishu ukanigombanisha na anko wangu
shikamoojamani makapuku nawasalimu.......
Sawa kiongoz
ndio mana nampenda sana baba d jamaan Mungu azidi kuniwekea binamu kuna mda anakua binadamu kabisa kama sio yeye [emoji8]Umejibu kiungwana sana mjomba, kudos. Hata kama ulichojibiwa sounded so offensive
hivi binamuuu we una mpango gani wa mimi na mjomba ako hivi ninavyokulalamikia kwako burudani kabisa
Haya tumesikiAjamani makapuku nawasalimu.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni huyu huyu unayemjua wewe, muulize vizuri. Maana alitokomezwa na alipoonekana tayari tumeshaanua matanga. Ikabidi tu atulie ndo kumpata cheusi (hii ni kabla hajakupata wewe)
Happy nakupa historia, mambo ya zamani sio ya sasa usijefanya ishu ukanigombanisha na anko wangu
Biashara gan na ucku huu aganzaNgoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
binamu nia yako mm na mjomba wako tugombane utashindana hautashinda sina imani na ww kabisa binamuHapana hata kidogo usinielewe vibaya. Nimesema tena kwa msisitizo kuwa hii ni story ya zamani mno enzi hizo mjomba angu tunamuita Robert Mugabe
Kumbe nawe ni simba[emoji106] [emoji23]Ha ahhahahaha, mimi na soka la bongo mbalimbali labda Simba tu ipewe ubingwa wake na FIFA
kwahiyo hiyo lini sasa jamaan lee wangu kuna siku alikua anaiulizia
binamu nia yako mm na mjomba wako tugombane utashindana hautashinda sina imani na ww kabisa binamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ahhahahaha, mwanamke mweupe ukashindwa kuuza mashamba ya nyanya Hongera. Mimi niliwahi kutokomea na hela za sanda, yaani ilibidi marehemu azikwe na shuka la hospital
*NB: sio mimi mimi, ni mjombaangu*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhinamu bwanaahAu tumuulize the bold
Biashara gan na ucku huu aganza
Samahaniiila msukuma zamani ulikua haupo hivi kabisa hivi unakumbuka kipindi sijafunga pm tulikua tunachat sana sijui kama unakumbuka