Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
labda una nyota ya kutapeliwawanazingua,lakini ni kwanini inatokea kwenye namba mpya tu?
labda una nyota ya kutapeliwawanazingua,lakini ni kwanini inatokea kwenye namba mpya tu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wa kwanza husijifanye humjui mwanao
mke mwee kwa lege vipiii[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120] [emoji120] neno limenipa nguvu sana ubarikiwe sana edenUkiona mitihani usikimbie,usichukie,usiikwepe,mwambie Mungu mapenzi yako yatimie
Ndani ya hiyo mitihani itafungua kurasa mpya na itafungua fursa mpya katika maisha yako
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shemelaTuwe na siku njema wanafamilia yetu pendwa na kama kawaida yetu ....![]()
Hny mic u[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemela kwan mama mchuchu asha kabidhiwa kwa binamuKweli mama mchuchu wa obe ...kuanzia saa 11 mpaka 12 kwa wavivu watasema mda mbaya ila jamaa anautendea akii ...
Kweli kabisa shemelaPole shemela ndio uanamume huo
Mke mweee kwemashemela wangu mimi apa asante kwa magazeti
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji121]baby mwee
Mic you 2Hny mic u
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtatuvunja mbavu jamanNambie mkee mweee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Maaaamamaaaaaaaaaaaa, dadeki nilijua tu lazima kuna mkono wa mtu wangu wa karibu. haiwezekani saa otomatiki isimame bila sababu ya msingi, saa inategmea solar na mapigo ya moyo isimame vipi na hali bado ninaishi.
Sasa roho yangu itatulia, na inabidi nikuletee uirekebishe isome majira ya leo. halafu Cheusi anakutafuta sana maana juzi aliibua ugomvi na kidawa mkorogo kisa eti sijui wewe (sikuwa na sababu ya kutowaamini)
Mama maflower katoroshwa mimi roho inaniuma tu. Na hata kujua kuwa katoroshwa nimejua leo wakati wengine mnataarifa tangu juzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimekoseaaa baby mweeee
[emoji23] [emoji3] [emoji3]..usinilishe maneno, sijachoshwa na asante hata kidogo (usitake kufanya hata asante nikakosa)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu mmmama mchuchu usirudiiii kabisa na flowers mpe mukongo tu wengine asante au ngumi zinawatosha mama angu