Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,633
binamu kwa habari hizo za cheusi acha mama mchuchu atoroshwe tu na ailidishwe
sio hivyo shangazi, walikuwa wanamgombania mtu mwingine sio anko wangu
binamu kwa habari hizo za cheusi acha mama mchuchu atoroshwe tu na ailidishwe
Hahahaha Lee nipo naandaa maflower![]()
![]()
![]()
Kipindi kile si ela yya kumalizia posa alikuwa bado anayo yeye ...sasa baada ya kunirudishiaa mm nahisi siogopii kusimama upande wa bhinamukweli anamuonea binamu ampe hata siku moja moja halaf zamani ulikua upo kote kote sasa hivi umeamua kusimama na binamu tu
Bhinamu hivi mama maflower kwa nini anakutolea njee ...ulikosea wapiiiHujui tu ninavyojisikia ukinisalimia kirejareja (retail-by mntioning my name) na sio kiujumla jumla (wholesale), yaani unanifanya najisikia vizuri kabisa na moyo badala ya kupiga ndu ndu ndu ndu unapiga kwa utaratibu unakubaliki na madakitari wa moyo nti nti nti.
Nimeamshwa salama sana, nashukuru kwa kuuliza. Nikwambie kitu kizuri cha kibinafsi?
Hujambo lakini?
mama mchuchu mpe basi na binamu yetu obe maflowers asante zimemchosha
Sio vizuriiiibinamu kwa habari hizo za cheusi acha mama mchuchu atoroshwe tu na ailidishwe
Bhinamu hivi mama maflower kwa nini anakutolea njee ...ulikosea wapiii
ujue ipo siku atajua umuhimu wa binamu halaf kipindi hiko binamu kashapata totoz imemkamata
Nakumbuka vizuri ...huyu aunt yako usimwaminii mda mwingine zinakuwa sio akili zake make ile juzi narud nyumban nakuta chumba kizima kimejaa empty heanken ...na kichupa fulani kimeandikwa jina la zanzii sijuii zenjii ata sielewAnko, mimi huyu shangazi namwangalia tu na unakumbuka ile juzi nikakuambia kuwa nahisi ndo ananiharibia. ukapendekeza twende tukapige ramli na ukawa tayari kununua jogoo la kupigia ramli? Bahati nzuri cheusi bonge alikuwepo hela ya kumlipa mganga tukanywea bia ,
Hujui tu ninavyojisikia ukinisalimia kirejareja (retail-by mntioning my name) na sio kiujumla jumla (wholesale), yaani unanifanya najisikia vizuri kabisa na moyo badala ya kupiga ndu ndu ndu ndu unapiga kwa utaratibu unakubaliki na madakitari wa moyo nti nti nti.
Nimeamshwa salama sana, nashukuru kwa kuuliza. Nikwambie kitu kizuri cha kibinafsi?
Hujambo lakini?
binamu ungemalizia na ma flowers uone je utajibiwa kwa flowers au kwa ngumi
Bora umesema wew ....tena eti wakataka wewe uwape lift waende kule ....sio hivyo shangazi, walikuwa wanamgombania mtu mwingine sio anko wangu
Na uzuri Bitoz anao wengi mbuzi na wa kuazima atatupaaNasikia umeamua kulima bustani kabisa ili usiwe unanunua maflower, anyway nitafuga mbuzi tuone kama hiyo bustani yako itasalimika
binamu we niangalie tu unafkili habari za cheusi mangala nazipenda me acha niwe kote kote tu kwa style hiyo ungetulia upande wangu na me ningekua na wewe tuAnko, mimi huyu shangazi namwangalia tu na unakumbuka ile juzi nikakuambia kuwa nahisi ndo ananiharibia. ukapendekeza twende tukapige ramli na ukawa tayari kununua jogoo la kupigia ramli? Bahati nzuri cheusi bonge alikuwepo hela ya kumlipa mganga tukanywea bia ,
Unamuonaa aunt yako ...na ukikosa asante sijui yeye atafaudika na nini..usinilishe maneno, sijachoshwa na asante hata kidogo (usitake kufanya hata asante nikakosa)
hapana binamu we kila siku cheusi tuuu nina moyo ujue me sio robotsio hivyo shangazi, walikuwa wanamgombania mtu mwingine sio anko wangu
Nasikia umeamua kulima bustani kabisa ili usiwe unanunua maflower, anyway nitafuga mbuzi tuone kama hiyo bustani yako itasalimika

kumbeeee nilikua sijuiKipindi kile si ela yya kumalizia posa alikuwa bado anayo yeye ...sasa baada ya kunirudishiaa mm nahisi siogopii kusimama upande wa bhinamu
..usinilishe maneno, sijachoshwa na asante hata kidogo (usitake kufanya hata asante nikakosa)
binamu nakutetea ujue
Tutaongeaa vizur hawez kutushindaa ...Nitajulia wapi mimi mpwao sasa, wewe ndo ungekuwa wa kuniongoza lakini ndo full kuniharibia. Itabidi tukae tujadili hili suala ni wapi nilikosea
ni vizuri tu kwa habari za cheusiSio vizuriiii