Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
mke mwee ukijibiwa niiteShemela kwan mama mchuchu asha kabidhiwa kwa binamu
mke mwee ukijibiwa niiteShemela kwan mama mchuchu asha kabidhiwa kwa binamu
kwema mkee mwee za wewe nilikumiss hukuMke mweee kwema
[emoji85] [emoji85][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji121]
ngoja waje wanaobetWacheza kamari hupoteza pesa nyingi kwa kubeti kuliko zile wanazoshinda
[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] mtatuvunja mbavu jaman
hahahah binamu ananichosha sana mke mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu mm
Mhhmke mwee ukijibiwa niite
Saa yake imepoteza majirahahahah binamu ananichosha sana mke mwee
Smart phone hajui kama ina saahahahah binamu ananichosha sana mke mwee
[emoji134] [emoji134] [emoji134] na binamu umeshamgeukaYa kwako uliulizaa hivo...eki nimesikia kuna kapuku ananipenda yaan wewe unasema hivo ...mukongo akanitajaaa
Mukongo be blessed with Blessedhope
Shemela wangu vipi jamaan sababu mama mchuchu ni wa mushenga mukongo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] habari za saa ya binamu ni sheedaSaa yake imepoteza majira
Mama mchungaji huko aliko akipita humu, inaonekana huwa anafurahi sanaShemela wangu vipi jamaan sababu mama mchuchu ni wa mushenga mukongo
[emoji2] [emoji2] shemela ebu acha banaSmart phone hajui kama ina saa
hawezi mgeuka mukongo anajua alipotutoa[emoji134] [emoji134] [emoji134] na binamu umeshamgeuka
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Ameni mama Mchungaji ubarikiwe[emoji524] ISAYA 40
31."Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya;watapanda juu kwa mbawa kama tai;watapiga mbio wala hawatachoka.
TUOMBE
Baba asante kwa kutufikisha umbali huu,asante kwa wema wako na fadhili zako zisizo na mwisho.
Bariki kazi,ndoa,familia,wasafiri.
Ponya wagonjwa,watie moyo wafiwa ,yatima.
Tutie nguvu ya kukungoja wewe na kukutegemea siku zote za maisha yetu.
Baba tunakupenda,tunakuheshimu,tunakutukuza,kunakushukuru kwa yote tunayoyapitia..upo nasi daima Mfalme wa Amani.
Roho Mtakatifu tawala maisha yetu,tufundishe kusamehe,Upendo na uvumilivu daima
Katika jina la Yesu Kristo mpatanishi na mwokozi wetu..Amen
MUWE NA SIKU NJEMA ,MBARIKIWE [emoji7]
Sio mimi yeye mwenyewe alisema[emoji2] [emoji2] shemela ebu acha bana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hawezi mgeuka mukongo anajua alipotutoa
Lunch time[emoji134] [emoji134] [emoji134] na binamu umeshamgeuka
[emoji2] [emoji2] ujue shemela lee na binamu obe ndio wanamkimbiza mama mchuchu asionekane kabisa humu mama mchuchu kuonekana kwake mpaka mukongo wake akirudiMama mchungaji huko aliko akipita humu, inaonekana huwa anafurahi sana