Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Wakuu kumekucha swalamaaaaaa...
Ila kweli Ng'ombe hazeeki maini aiseeeh....
Ila ebu nitoe ya moyoni ...kati ya radio presenter niliotokea kuwakubar ni huyu fundi fredwaaa...fredi fidelis alitokea kunikosha enzi rfa na sindano tano za moto ...alivotua mawingu clouds nilikuwa sijamfatilia vizur ila now baada ya kumsoma mida yake "bampa to bampa" mida hii jamaa yuko vizur ...ndo huwa ananisaidia kuniamsha mapema ...