shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Aisee1939 - Jaji Joseph Force Crater anatangazwa rasmi amefariki Dunia baada ya kutafutwa bila mafanikio baada ya kupotea kwa miaka 9.
Jaji Crater alipotea mwaka 1930 alipokuwa na kashfa za kisiasa na hakuwahi kuonekana tena, hali hiyo ikawafanya FBI na Polisi kumtafuta lakini baada ya miaka tisa toka kupotea kwake wakatangaza amefariki.
Jalada la Kesi yake lilikuja kufungwa miaka 40 baadae baada ya kupotea kwake.
OMBI:
Mkuu Bitoz itapendeza siku tukapata top 10 ya watu waliopotea na kushindwa kuonekana tena. Wapo akina Jimmy Hoffa na DB Cooper.