Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bhinamu uko poa ??

Nisamehe saa yako nilikorofisha mm kipind kile ulivokuwa na cheusi mangala ukaogopa kwenda nayo unaweza kuibiwa ...nilirudisha nyuma mda ili tukae sana maeneo yetu

Anyway nasikia umemtorosha mama maflower wako

Maaaamamaaaaaaaaaaaa, dadeki nilijua tu lazima kuna mkono wa mtu wangu wa karibu. haiwezekani saa otomatiki isimame bila sababu ya msingi, saa inategmea solar na mapigo ya moyo isimame vipi na hali bado ninaishi.

Sasa roho yangu itatulia, na inabidi nikuletee uirekebishe isome majira ya leo. halafu Cheusi anakutafuta sana maana juzi aliibua ugomvi na kidawa mkorogo kisa eti sijui wewe (sikuwa na sababu ya kutowaamini)

Mama maflower katoroshwa mimi roho inaniuma tu. Na hata kujua kuwa katoroshwa nimejua leo wakati wengine mnataarifa tangu juzi
 
binamu kwa habari hizo za cheusi acha mama mchuchu atoroshwe tu na ailidishwe
 
Maaaamamaaaaaaaaaaaa, dadeki nilijua tu lazima kuna mkono wa mtu wangu wa karibu. haiwezekani saa otomatiki isimame bila sababu ya msingi, saa inategmea solar na mapigo ya moyo isimame vipi na hali bado ninaishi.

Sasa roho yangu itatulia, na inabidi nikuletee uirekebishe isome majira ya leo. halafu Cheusi anakutafuta sana maana juzi aliibua ugomvi na kidawa mkorogo kisa eti sijui wewe (sikuwa na sababu ya kutowaamini)

Mama maflower katoroshwa mimi roho inaniuma tu. Na hata kujua kuwa katoroshwa nimejua leo wakati wengine mnataarifa tangu juzi
Baaabaaaaaaaaaaaaaa ...bhinamu nisamehe najua saa yako ndo mfarijii wako ila sikuwa na namna make na wew hii saa inakutia wazimu ..ntairekebishaa make kuna nyaya nilichomoaa usiseme kuchomekaa laaa ashaaa ...mambo yatajipa ila kama kuna uwezekano nikuchukulie ya kuninginiza shingoniiii...

Huyo cheusi na mwenzake niliwajuaa mapema lazima watibuanee si unajua ule ugeni nasikia uliandikwa kwenye udaku ..meneja wa bar mmbeaa kinomaaa
 
Za asubuhi Obe,umeamshwaje?ubarikiwe

Hujui tu ninavyojisikia ukinisalimia kirejareja (retail-by mntioning my name) na sio kiujumla jumla (wholesale), yaani unanifanya najisikia vizuri kabisa na moyo badala ya kupiga ndu ndu ndu ndu unapiga kwa utaratibu unakubaliki na madakitari wa moyo nti nti nti.

Nimeamshwa salama sana, nashukuru kwa kuuliza. Nikwambie kitu kizuri cha kibinafsi?

Hujambo lakini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom