Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
asante mussolinLeo katika Historia:
Niwarakie siku njema.
asante mussolinLeo katika Historia:
Niwarakie siku njema.
kuna kaukweli hapaKuzaa na mke wa mtu ni kawaida tu,
Hakuna familia ambayo haina mtoto wa nje ya ndoa,
Binti una maana binti wa kuzaa mwenyewe?
bora ni kuzaa na mke wa mtuMlitumia methali hiyo kutubambikia mbegu batili.
Mamndenyi kipi bora kati ya kuzaa na mke wa MTU au mume kuzaa na binti?
mke mweeHbr ya leo wapendwa,hope muwazima
Maneno ya sakayoshemela unaongea na mm au unaongea na simu
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwarakie siku njema.
Shikamoo mama.Heri kuzaa na mke wa mtu,
Topic yoyote mkuu..Hodi humu makapuku?
Hivi humu hakuna topic dhahiri za kujadiliwa?
Au ni forum ya wapendanao?
Leo Katika Historia:
1949 - Thailand wanamchagua Orapin Chaiyakan kuwa mwanamke wa kwanza Mbunge katika Bunge la Nchi hiyo.
Tupo pouwa mkuuWakuu leo nilienda kuchunga mbuzi maeneo ya mbali
Nafikiri wote mko poa
.....
1959 - Serikali ya kwanza ya Singapore yaapishwa.
1967 - Vita ya Siku Sita yaanza baada ya Israel kuishambulia Misri kwa kuishtukiza.
1968 - Robert F. Kennedy anapigwa risasi na Mpalestina Sirhan Sirhan alipokuwa kwenye kampeni za Urais huko jijini Los Angeles. Na kufariki siku inayofuata.
Robert F. Kennedy alikuwa ni mdogo wake Rais wa 35 wa Marekani, John F. Kennedy ambaye naye aliuwawa kwa kupigwa risasi.
Wakuu leo nilienda kuchunga mbuzi maeneo ya mbali
Nafikiri wote mko poa
.....
Sijawahi kukuona kwenye uzi mwingine zaidi ya huu. Kweli wewe ni kapuku OG.![]()
![]()
![]()
Tuko poaa
1975 - Mfereji wa Suez wafunguliwa baada ya kumalizika kwa vita ya siku sita.