Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
1975 - Mfereji wa Suez wafunguliwa baada ya kumalizika kwa vita ya siku sita.
Makedonia. Wanajua hawa. Tuwaulize vizuri.Una uhakika?
Mi mzima dear, huyo mzee mpotezee tu hana mpyaJimena mzima mamy kiwatengu alikuulizia jana
Asante kwa historia mwenyekitiLeo katika Historia:
Niwarakie siku njema.

Inaonekana tarehe 6 June haina mambo makubwa saana.Leo katika Historia:
Niwarakie siku njema.
Heri kuzaa na mke wa mtu,Sio wa kuzaa. Binti kigoli wa mtaani asiye na mume.
Unajuwa ni kwanini DNA ikapigwa marufuku huku kwetu?Una uhakika?
Enheeee!Unajuwa ni kwanini DNA ikapigwa marufuku huku kwetu?
Mwenye mke akijua je? Au sio rahisi kujua? Tiririka Mamndenyi!Heri kuzaa na mke wa mtu,
mshenga ana umuhimu sana kwangu na binamu nae ana umuhimu wake kwangu nahisi nipo kote kote

PoleeeMakapuku habari za jumatatu?
Nimeingia dar. Barabara yangu ya Kinyerezi kutokea Barakuda imeharibika sana. Sijui ni mvua zilizonyesha au ni udhaifu wa kandarasi.
Ata siku moja hakiwezi
Pamoja sana mkuuShukrani kwa magazeti!
Tuyatunzeee yatutunzee- Leo ni siku ya Mazingira duniani.