Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
ni kweli ana moyo lakini hatuna namna acha tudai flowers kinguvu asante tumeichoka kutoka kwa mama mchuchuIla wewe ...
Bhinamu obe ujue naye ana moyo
ni kweli ana moyo lakini hatuna namna acha tudai flowers kinguvu asante tumeichoka kutoka kwa mama mchuchuIla wewe ...
Bhinamu obe ujue naye ana moyo
Hivi wewe uko upande ganiini kweli ana moyo lakini hatuna namna acha tudai flowers kinguvu asante tumeichoka kutoka kwa mama mchuchu
Majukumu tuAsante ankali kwa kuyapitia
Unaadimika sana ankali
Jimena mzima mamy kiwatengu alikuulizia janaMajukumu tu
mshenga ana umuhimu sana kwangu na binamu nae ana umuhimu wake kwangu nahisi nipo kote koteHivi wewe uko upande ganii
Mshenga au bhinamu ...
Make mchuchu akimpa tano mukongo unafurahii ...maflower ndo unashindilia likes ...kuwa silias
Pole sana ipogolo huko kwenu mvua ikinyesha bara bara hazifaiMakapuku habari za jumatatu?
Nimeingia dar. Barabara yangu ya Kinyerezi kutokea Barakuda imeharibika sana. Sijui ni mvua zilizonyesha au ni udhaifu wa kandarasi.
Lakini hazileti foleni Shunie.Pole sana ipogolo huko kwenu mvua ikinyesha bara bara hazifai
Shukrani kwa magazeti!View attachment 519463Sina la ziada kutoka magazetini
Nawatakieni jumatatu njema
Mlitumia methali hiyo kutubambikia mbegu batili.
Kuzaa na mke wa mtu ni kawaida tu,Mlitumia methali hiyo kutubambikia mbegu batili.
Mamndenyi kipi bora kati ya kuzaa na mke wa MTU au mume kuzaa na binti?
Karibu Dictator.Leo Katika Historia:
1949 - Thailand wanamchagua Orapin Chaiyakan kuwa mwanamke wa kwanza Mbunge katika Bunge la Nchi hiyo.
Una uhakika?Kuzaa na mke wa mtu ni kawaida tu,
Hakuna familia ambayo haina mtoto wa nje ya ndoa,
Binti una maana binti wa kuzaa mwenyewe?
Sio wa kuzaa. Binti kigoli wa mtaani asiye na mume.Kuzaa na mke wa mtu ni kawaida tu,
Hakuna familia ambayo haina mtoto wa nje ya ndoa,
Binti una maana binti wa kuzaa mwenyewe?