Makapuku Forum

Makapuku Forum

2006 - Serbia yajitangazia Uhuru wake toka kwa Montenegro.
ae9e4266ae1b5d3b15742f916e23957a.jpg
e00daf2417acdbe3a9bbf83b5adccbc8.jpg

Uzuri wa Wazungu hawapendi unafiki
Km unazingua au hawajisikii kuendelea kuwa pamoja kila mtu anashika 50 zake zen maisha yanasonga
Siyo huku Wazenji hawautaki Muungano ila kusema hawasemi
.....
 
c3ce7135c5e89a3d3e33bc6d8169c671.jpg
4c21a9e01ca08a0fb3d5864da6d6e673.jpg

Ni miongoni mwa vita 10 fupi zaidi duniani
Ilijulikana kama 6 Day War ..Israel ilishinda vita na hivyo kujinyakulia Ukanda wa Gaza na Sinai Peninsula kutoka kwa Missri
Pia ikajinyakulia East Jerusalem kutoka kwa Jordan na Golan Heights kutoka kwa Syria
.....
Waarabu mpaka leo huwa siwaelewi kuhusu kushindwa kwao katika vita hivi...
 
Mzee wa mikwara. Alivyokuwa anawapiga mkwara wanajeshi wa Marekani wakati wanavamia Iraq mpaka leo ni case study of how to do propaganda. Baada ya kuanguka kwa Saddam Wamarekani wakaona hata hakuna haja ya kumfunga. RIP Mzee Azziz!
Namkumbuka jamaa alikuwa bingwa wa propaganda
Hadi kuna jina walimpachika
Akina Polepole na Mwakyembe itabidi wamuige

.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom