Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nursery mimi sikusoma, umeanza kusahau, mimi nilisoma vidudu, huko tulikuwa tunaimba, kucheza, kunywa uji na kula vibaragala.

Ha ahahhaha, kama kazikusanyia zote chumbani bado haziko salama, azipeleke bank kabla mashetwain yako ya kula rambirambi hayajapanda Ijumaa hii😀😀😀😀😀
Nilimanishaa vidudu ....vibaragala alafu ulikuwa unaviwekaa mfukonii wote unajaa mafutaa

Kiukweli aunt ysko simuweziii kanikomeshaa

Ila leo yule muhudumu atujibu swal letu ...kipi bora kuwaza bia ukiwa kanisani au kuwaza Mungu ukiwa bar ?? Siku ile tuliishia njian
 
Aliponipa sikuuliza, wala sikuomba risiti.

Nimeuliza leo tena baada ya kuona mabadiliko kwenye bia ya safari, imekuwa sio chungu yaani wameweka sukari. Well, niko bia ya ngapi sijui/ Utaona huwa najiuliza maswali nikishapata kichochea maswali.

Hizi bia ninazokunywa huwa zinanipa maswali sana wakati mwingine najiuliza au huwa nafungua vizibo kimakosa, kwanini maswali na si majibu.???
bakulutu sa ngapi binamu au ni kesho
 
Ujue wewe bhinamu ni geniasiiiiii make nilikuwa nawaza akiniuliza risit najibujee ila kwa kuwa nilikukutaa ushafungua vizibo wala hukukumbukaaa...

Mrembo demi nakuja naee leo jiandaee si umetembea na atm??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom