Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji134] [emoji134] kalio tena hivi binamu uwe unafkilia vya kuongea ujue na ninajitoa kwenye swala la mama mchuchu uhangaike mwenyewe na mjomba ako mama mchuchu tumwachie mukongo wakeHa ahahhahahaha, hapo ndo tunapopatianaga anko, maana umeandika kimkakati kabisa na uhakika wa ushindi.
Safari hii tusiongelee mambo ya viroba au monde, tuwe wataarabu kabisa sio kama siku ile umepiga tingasi ukamshika kalio yule mhudumu kisa kavaa sketi kama mwanafunzi wa sekondari