Makapuku Forum

Makapuku Forum

Irak wamewekewa puppets

Sidhani kama wataacha kujitoa mhanga bila kuona serikali iliyochaguliwa kwa matakwa yao..
Suala siyo puppets wala matakwa ya wananchi. Nchi ile ina migawanyiko ya kihistoria ya kale na kale na pengine ilihitaji mkono wa chuma kama wa Saddam kuiweka pamoja. Wakurd kule Kaskazini, Washia na Wasuni huku kwingine. Bado hujagusia migongano ya koo na uhasama wa kivyama. Jumlisha na ISIS naye yupo pale anakoleza mambo.

Wachambuzi wengi kwa sasa wanakiri kwamba nchi ile haitawaliki na pengine suluhisho pekee la kuleta amani ya kudumu itakuwa ni kuimega sehemu tatu - Wakurd, Washia na Wasuni halafu kila mtu apambane kivyake. Tatizo ni kwamba utajiri wa mafuta upo hasa huko Kaskazini na kila mtu anapataka japo Wakurd wanasema ndiyo sehemu yao na hawataki tena kunyanyaswa kama enzi za Saddam. Ni kizungumkuti cha karne!
 
Tena Putin km kawaida yake akaongoza mapambano...Wachachen wakaomba poo
Kumsamehe adui ni kazi ya Mungu lakini kumpeleka adui kwa Mungu ni kazi ya Putin
.....
Ila yote tuombe Mungu aya mambo tuendelee kuyasikia pengine japo sio mazuri ata kwa hao ...

Acha tu tuendeleze nidhamu ya woga ...watu waliopitia kipindi hiki wana mambo mengi ya kusimuliaa

Achana na maigizo yaliyotoke kwa id aminii na nyerere ...kuna watu wanatahabikaa
 
Suala siyo puppets wala matakwa ya wananchi. Nchi ile ina migawanyiko ya kihistoria ya kale na kale na pengine ilihitaji mkono wa chuma kama wa Saddam kuiweka pamoja. Wakurd kule Kaskazini, Washia na Wasuni huku kwingine. Bado hujagusia migongano ya koo na uhasama wa kivyama. Jumlisha na ISIS naye yupo pale anakoleza mambo.

Wachambuzi wengi kwa sasa wanakiri kwamba nchi ile haitawaliki na pengine suluhisho pekee la kuleta amani ya kudumu itakuwa ni kuimega sehemu tatu - Wakurd, Washia na Wasuni halafu kila mtu apambane kivyake. Tatizo ni kwamba utajiri wa mafuta upo hasa huko Kaskazini na kila mtu anapataka japo Wakurd wanasema ndiyo sehemu yao na hawataki tena kunyanyaswa kama enzi za Saddam. Ni kizungumkuti cha karne!
Maelezo yako mazuri
Pia katika mashambulizi niliyoyaelezea ya huko Irak
Mojawapo liliwalenga hasa Washia ila sikuandika sababu ya kufupisha

Ila USA kumuondoa Saddam ndo kuliliamsha dude
.....
 
Ha ahahhahahaha, tukimaliza kufagia afu tunaomba kujitolea kuhesabu sadaka kama kipindi kile umerudi toka nchi ya kigeni, sadaka zikapungua ulipoanza kuhesabu, walipokuondoa zikaongezeka. Sijui shida ilikuwa wapi, watoa sadaka au mhesabuji
Usijifanyee umesahau ulikuwa unanishaurii nifanye nini mara kila jpili unanikumbusha nivae suruali za kosovo mifuko sita ..maraa hoo toa buku weka jerooo
 
851dca774e09efc660a7f8e3faf1c132.jpg
hahahhh
 
Yaan bhinamu wala usiofu ata kama ustaarabu haununuliwii tutaazima bhinamu ..

Mama mchuchu mbona anakupenda na wewe na tokea kitambo upo moyoni mwake japo li jamaaa lile linajidaii tu ...

Yaan kumuonesha tuko siliasi tutaanza kurudi kanisani na zamu hii mpaka kanisa tutapangiwa zamu za kufagiaa

Alafu yule mganga wetu nasikiaa siku hizi watu wanamiminika kweli nyota anazisafishaa
huo mstari wa mwishi ndio umeharibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom