Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Wakafiee huko ...au ndo ile una mtu wako unashindwa kutembea nae njian mnapanda daladala tofauti mkisingizia eti ajar isije kutokea tuko wotee...
Wee sura wallpaper kwanza mnato

Wakafiee huko ...au ndo ile una mtu wako unashindwa kutembea nae njian mnapanda daladala tofauti mkisingizia eti ajar isije kutokea tuko wotee...
Wee sura wallpaper kwanza mnato

ni mume wangu cuzoo huyo ni shemeji yakoKwani cuzoo una undugu na huyu
Kweli nakwambiaWewe mnaongopeanaaa
Utajuaa mpaka fanta nikabugiaa
kwahiyo ulikaa kabisaHa ha ha ha ha ha ha..... Muamini Shunie rafiki kipenzUwasiwasiiii upooo
Make nasikiaga mtafutajii hachokiii
Kuwa mpole HusnaKwendraaaaa
![]()
Asante msukuma nimeshapoaAfadhali umerudi. Pole kwa misiba. Welcome back. This place is not the same without you. Na mumeo naye michosho tupu. Mkali kama pilipili tukikuulizia...
hahahhh kwa nini anakua mkali
Yaaan hujui nimefuta mara ngapi kukutafutia jibu ...Kwani cuzoo una undugu na huyu
Mpaka nikakunja nne au nikwambie jina na muhudumukwahiyo ulikaa kabisa
wahudumu hata siwajui nikikwambia mara ya mwisho kukaa pale siku niliyokua na dogo huwa napita tu kama njia sababu ndio njia kuuMpaka nikakunja nne au nikwambie jina na muhudumu
HuhuhuhuhYaaan hujui nimefuta mara ngapi kukutafutia jibu ...
Ngoja aone yeye
Sorry kipenzi niambie ile bar ya sinza inaitwaje ukitoka sheli ya kubwa sijui big bon unanyoosha kwa juu ...iko green green

JamaanYaaan hujui nimefuta mara ngapi kukutafutia jibu ...
Ngoja aone yeye
Sorry kipenzi niambie ile bar ya sinza inaitwaje ukitoka sheli ya kubwa sijui big bon unanyoosha kwa juu ...iko green green

Ha haaaaa nishaijua aaaNop cuzoo ipo sinza kati kati utakua unaijua ni bar kubwa inayoongoza sinza yote usiitaje jina
Mda mbona we si kuna siku niliweka hiyo avatar yake mkawa mnanisema na bamdogo na we uliniua sana nikabaki mpole tu![]()
tangu lini
MornieGood morning! Missed you guys.
unaenda wapi tena cuzooHuhuhuhuh![]()
![]()
Ebu ngoja Lee ajibu hilianamtafuta nani
Huh huu nisamehe bwana shemejiiMpaka nikakunja nne au nikwambie jina na muhudumu