Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3]unakumbuka nilikwambia upuuzi wa lee mimi siutaki bana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]unakumbuka nilikwambia upuuzi wa lee mimi siutaki bana
MhShunie is back... ...whr is Sakayo.... Unajua ni 'mshenga' wangu?
Mbona kawaida tu
Na kwako pia Shunie.Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana [emoji120]
inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote [emoji120]
Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea [emoji120]
Nilikumiss sana kivuruge wangu [emoji8]
Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika [emoji120]
Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema [emoji120]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni wewe unaeangalia sura wenzio hawaangaliagi hivyoWewe mmi tabia tutarekebishanaa
Shemela anafikisha taarifa kama zilivo hataki konakona[emoji3] [emoji3] [emoji3]uchochezi upi mke mwee [emoji2] na wakati nilikuona unahangaika na masufulia
we ndio kivuruge wangu [emoji85] me siku hizi wala sikuvurugiKarudii kicuruge changuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu shemelaIla mm huyo namuona mbaya shedy baby anasema mzuri kuliko husna ....
Mungu aniepushie mawazo niliyonayoo
sitaki [emoji134]Ndo unachokitakaaa
[emoji2] [emoji2]Hapo kafuraaaai mwenyewe[emoji23]
Rafiki kipenz hebu... Hii term "upuuzi wa Lee" ina maana gani?Nyie nshawajuaa mnatakaa "upuuzi wa lee" mapema
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Wewe mmi tabia tutarekebishanaa
Wakafiee huko ...au ndo ile una mtu wako unashindwa kutembea nae njian mnapanda daladala tofauti mkisingizia eti ajar isije kutokea tuko wotee...[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni wewe unaeangalia sura wenzio hawaangaliagi hivyo
Ujue nina kama week sipo cuzoo ndio nimerudi leo nilifiwa ebu ngoja tumsubiliCuzoo yule jamaa aliishia wapi?
kweli mke mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tigo cio watu wazuriMbona hatumuoni.... Au umejazwa na wewe ukamjaza [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wewe mnaongopeanaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu shemela
[emoji120] [emoji120]Na kwako pia Shunie.
MorningMorning all