Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Labda wanaume wanamuogopa, ujue mwanamke akishakua vile pia wanaume huwa wanaingia uwoga....

Au nasema uongo ndugu zangu.?!
Kuna siku hivi nipo sehemu, wakawa wanamzungumzia DC, kuhusu kutoolewa ili hali ana kila sifa ya kuitwa mke, m1 akajibu yule hawezi olewa na hawezi pata kijana wa umri wake,
Wanaogopa Gridi ya taifa kuunganishwa,
Yaan nilicheka huku nikisikitika.
 
Huyo mama bado kijana ssna nashauri serikali imtafutie mume wa kumfariji na kumtuliza hisia zake.
Deo kisandu kajitolea kuwa na huyo mjane
 
Inadaiwa hivyo kulikuwa na tetesi kwamba jamaa alimpiga baada ya kutoka nyumbani kwake bila kumtaarifu jamaa. Jamaa alimtafuta na akaambiwa katoka na yeye hakujua ameenda wapi. Akaomba akirudi ataarifiwe na alipopewa taarifa akaenda kumbamiza. Na hasira zake nadhani hata ubunge wa viti maalum hakumteua pamoja na alikuwa ana uwezo wa kufanya hivyo.
Mkuu naona unaitendea haki kweli kweli jinsia yako.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png


Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
hiz picha sio, weka zile zenye maburungutu
 
Ada Estate wameshahama 😳😳😳? Au ashatimuliwa na ndugu wa marehemu 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom