Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Ngoja niwachochee kwa kuwauliza; ni kesi ngapi ambazo mnazijua ambapo baba amefariki ghafla na familia ikabakia salama? Wangapi mnajua maneno yanayotokea baada ya mtu mkubwa/tajiri/maarufu kufariki ghafla? Kuna maswali hapa yakija kuulizwa watu wataanza kutiwa pingu... ni vizuri waendelee kumjulia hali na kujua hali yake ya kiakili ikoje na familia inasemaje... vinginevyo asije akanung'unika...
Ndio muende na nyinyi wasukuma mkampe pole
 
Yule mtoto hajawahi kuonekana, kwani hata hospital kwenyewe kipindi amejifungua tyuuh, hakuruhusiwa yeyote kumuona hata mumewe, ila jiwe alienda na Ali ruhusiwa kumuona. Heeeh

Ila amepotea ghafla San ktk ulimwengu wa siasa lol.
Kama hata mume hakuruhusiwa kumuona mtoto ina maana walishaachana au? Maana kama bado wanaishi pamoja imekuwaje asimuone mtoto.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
Aliyempendekeza awe makamu wa rais ana walakini
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
It is okay and human. I notice; there is some social distance between the two.
 
Kama hata mume hakuruhusiwa kumuona mtoto ina maana walishaachana au? Maana kama bado wanaishi pamoja imekuwaje asimuone mtoto.
Nimesema hospital wakati pindi alipojifungua, kabla ya kupewa ruhusa ya kurudi nyumbani, kuwa muelewa.
 
Mama amenawiri moyo una amani sana..
Ametakata kipindi fupi hivi kweli alinyanyasikaaaa
 
Back
Top Bottom