Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Kuna watu humu jamvini wanasema hivyo, aisee haiwezekani.
TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku. TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kutoka TFF
 
Anakula matunda ya uvumilivu wake yule dhalimu alimtesa sana huyu mama. Mapesa kibao na assets za kumwaga sijui kama anazijua zote na wapi zilipo.
Waswahili bana, hadi mambo ya vyumbani kwa watu mnayajua. Eti ameteswa. Saikojia ndogo tu, mtu hadi anaugua kwa kufiwa halafu unapiga porojo hapa eti alikuwa akiteswa! Kuwa hater ni shida sana.
 
Hakuna siri vyumbani kwa watu kama huyo mama alikuwa anaweka kila kitu hadharani na dhalimu alikuwa anamdhalilisha hadharani. Unadhani ni mke yupi atagoma kuandamana na mumewe kwenye kampeni za Urais? Mama aligoma hadi alipobembelezwa na Mkapa, Kikwete na Mama Mama Maria Nyerere. Akitoa shukrani pale jangwani kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm dhalimu aliwashukuru wote akamuacha mkewe hadi Kikwete alipomwambia dhalimu mshukuru na mkeo. JIONGEZE mbona mambo haya yako hadharani.

Waswahili bana, hadi mambo ya vyumbani kwa watu mnayajua. Eti ameteswa. Saikojia ndogo tu, mtu hadi anaugua kwa kufiwa halafu unapiga porojo hapa eti alikuwa akiteswa! Kuwa hater ni shida sana.
 
Waswahili bana, hadi mambo ya vyumbani kwa watu mnayajua. Eti ameteswa. Saikojia ndogo tu, mtu hadi anaugua kwa kufiwa halafu unapiga porojo hapa eti alikuwa akiteswa! Kuwa hater ni shida sana.
 
Wewe ulichokisoma kiko wapi? Manake isije kuwa wewe ndiye uliyekosea kusoma. Labda hukusoma vizuri ulichokisoma…
EeenHeee, sijui unataka uelezwe vipi zaidi ya yaliyoelezwa ndipo ukubali kuondoa hayo uliyokuwa umeyahitimisha kichwani mwako.

Mtu kaeleza vizuri, wewe bado unang'ang'ania tu ulichogandisha kichwani mwako!
 
Ngoja niwachochee kwa kuwauliza; ni kesi ngapi ambazo mnazijua ambapo baba amefariki ghafla na familia ikabakia salama? Wangapi mnajua maneno yanayotokea baada ya mtu mkubwa/tajiri/maarufu kufariki ghafla? Kuna maswali hapa yakija kuulizwa watu wataanza kutiwa pingu... ni vizuri waendelee kumjulia hali na kujua hali yake ya kiakili ikoje na familia inasemaje... vinginevyo asije akanung'unika...
'Anticipatory'. 'Pre-emption'?

Hiyo ni hali ya kawaida sana hapo jirani yetu, kaaskazini.
Tungekuwa kama wao, vigazeti vya udaku na hata haya ya kawaida yangekuwa yalishajaa takataka nyingi, hata zisizo za ukweli.

Hapa kwetu, itabidi wao wenyewe wanafamilia walikoroge, ndipo watu wataanza kuchungulia ndani.
 
Watoto 11 mama mbali mbali si ajabu hata huyo Joseph hajui kila kitu na hasa kama hakuacha will na Watanzania walio wengi hawana utamaduni wa kuwa na will.
Hivi cheupe nae alipewa mtoto au zilikua story tu? Sijamsikia muda amepoa kama hayupo, hata msibani sikuiona sura yake....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Inadaiwa hivyo kulikuwa na tetesi kwamba jamaa alimpiga baada ya kutoka nyumbani kwake bila kumtaarifu jamaa. Jamaa alimtafuta na akaambiwa katoka na yeye hakujua ameenda wapi. Akaomba akirudi ataarifiwe na alipopewa taarifa akaenda kumbamiza. Na hasira zake nadhani hata ubunge wa viti maalum hakumteua pamoja na alikuwa ana uwezo wa kufanya hivyo.

Nilishangaa ghafla kapotea kwenye ramani kumbe alizingua teh
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
Huyu Mama yuko Chato alikokwenda PM au yupo Dar?
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom