Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Ndio ule msafara jana asubuhi kwenda masaki mwisho ? Basi sawa kila la kheri mama mjane.....Yesu ndio mume wenu uwe amani zote ...pambana watoto uwaweke vizuri maisha yasonge.....
 
Watoto 11 mama mbali mbali si ajabu hata huyo Joseph hajui kila kitu na hasa kama hakuacha will na Watanzania walio wengi hawana utamaduni wa kuwa na will.
Heeeeh kwan magufuli wale watoto kazaa na wanawake zaidi ya m1? Afu mbna pale msibani waliotangazwa na kuonekana ni 7 tyuuh.? Duuuh sikua najua hili mweeeeh, maskini km hakuweka wazi kwa watoto mbona itakua pata potea.

Ila naamini Joseph anajua kila kitu.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
Kwanini Mjane alitoka upesi Chato na kurejea Dar es Salaam hivi? Sidhani kama kuna Uhusiano mzuri kati yake na Ndugu wa Hayati na huenda kuna Matukio yamemtisha na Kumkimbiza huko Chato.
 
Hivi cheupe nae alipewa mtoto au zilikua story tu? Sijamsikia muda amepoa kama hayupo, hata msibani sikuiona sura yake....
Yule mtoto kwani sie wa mwendazake? Mbna tetesi zilisikika kua ni wa uncle, hadi mumewe anajua hilo.
 
Jf siku hizi full adabu au sababu Mama hakuwa na makeke sijaona comment hata moja ikisomeka Jimbo huru...
 
Nami nilisikia hivo ila sijawahi kumuona
Yule mtoto hajawahi kuonekana, kwani hata hospital kwenyewe kipindi amejifungua tyuuh, hakuruhusiwa yeyote kumuona hata mumewe, ila jiwe alienda na Ali ruhusiwa kumuona. Heeeh

Ila amepotea ghafla San ktk ulimwengu wa siasa lol.
 
Ukiona mama kagoma kuishi chato basi kuna issues za Mali zishaanza kuleta tatizo... nduo tutajua jiwe alikuwa bilionea tuone nani atarithi 1.6 trillion
 
Yule mtoto hajawahi kuonekana, kwani hata hospital kwenyewe kipindi amejifungua tyuuh, hakuruhusiwa yeyote kumuona hata mumewe, ila jiwe alienda na Ali ruhusiwa kumuona. Heeeh

Ila amepotea ghafla San ktk ulimwengu wa siasa lol.
Doh lazma aliemuona ndio baba mtoto mwenyewe, haya ndio kishadanja sijui sahivi hali ya ndoa ikoje....kazi kweli kweli
 
Doh lazma aliemuona ndio baba mtoto mwenyewe, haya ndio kishadanja sijui sahivi hali ya ndoa ikoje....kazi kweli kweli
Afu inaonekana yule cheupe wakati akiwa na uhusiano na uncle, alikua haiheshimu na kuithamini ndoa yake. Ndo maana kijana wa watu alikua mnyonge sana yaan.

Hivi umesahau cheupe DC alivomfukuzisha kazi DAS, kisa uhusiano nae huku na uncle yupo kati,
Ila uncle alikua na wivu jamani lol, utadhani aliwaoa mweeeh
 
Huyo mmama nae hamnazo kuiweka rehani ndoa kiasi kile, kama bado ipo hiyo ndoa akatoe sadaka...

Dc nae apate sasa mtu aolewe, boifrendi kishadanja hivo 😂
 
Back
Top Bottom