Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,936
- 4,347
Kulikuwa na sababu gani ya Waziri mkuu kufunga safari ya Chato? matumizi ya rasilimali !
Kumbe Mjane alikuwa ''safarini' kuja Dar!
JokaKuu
Per diem baba!
Kulikuwa na sababu gani ya Waziri mkuu kufunga safari ya Chato? matumizi ya rasilimali !
Kumbe Mjane alikuwa ''safarini' kuja Dar!
JokaKuu
Miaka ya nyuma Nyerere aliwahi kuzungumzia kuhusu matumizi ya neno '' Mama' alisema si sahihi kutumia mama kwa mke. Mama ni mzazi. Tumeendelea kutumia hata hivyoMzee kuna kitu nadhani usije kuwa umesahau ulikisema...
Wewe ulichokisoma kiko wapi? Manake isije kuwa wewe ndiye uliyekosea kusoma. Labda hukusoma vizuri ulichokisoma…Miaka ya nyuma Nyerere aliwahi kuzungumzia kuhusu matumizi ya neno '' Mama' alisema si sahihi kutumia mama kwa mke. Mama ni mzazi. Tumeendelea kutumia hata hivyo
Niliposoma mahali Waziri mkuu atua Chato kumtembelea Mama Magufuli sikuona tatizo , hasa tukizingatia Mjane hakuhudhuria Dodoma katika ile hafla ya dini. Mwanae alisema '' Hali ya mama si nzuri tangu mzee amefariki'
Kwahiyo nilijua Waziri mkuu kaenda kumtembelea mjane kwavile hali haikuwa nzuri
Leo niliposoma hii habari, nikajiuliza kumbe '' Mama Magufuli' alikuwa safarini kuja Dar ?
Ninaambiwa ni vitu tofauti, PM alikwenda kumuona Mama yake Magufuli na VP alikwenda kumuona Mama Magufuli.
Kujulia watu hali ni uungwana! sioni tatizo. Imewekwa sawa tumeeelewa ! hakuna tatizo jingine
JokaKuu ahsante sana kwa ufafanuzi
Burigi National Park.Duuuh,
Siyo Chato tena ni masalia?
Kwa hiyo uwanja wa ndege Chato , matumizi yake yatàkuwa yapi?,
Kuna uwezekano nilikosea kusoma, au nilisoma sikuelewa au nilisoma habari ikiwa haipo sawaWewe ulichokisoma kiko wapi? Manake isije kuwa wewe ndiye uliyekosea kusoma. Labda hukusoma vizuri ulichokisoma…
Mimi nilichokisoma nilikielewa aliyeenda kuonwa ni Mama Suzana Magufuli. Mama mzazi wa Rais Magufuli.Kuna uwezekano nilikosea kusoma, au nilisoma sikuelewa au nilisoma habari ikiwa haipo sawa
Nimefarajika kuwa sipo peke yangu, kumbe JokaKuu naye alielewa kama mimi.
Kufariji watu sioni kama ni issue! niliangalia tu matumizi ya rasilimali just to realize kuna vitu viwili vinaongelewa
''Mama yake Magufuli na Mama Magufuli'' Sioni tatizo !
Jamani jamani, mmmhMjane anaonekana mwenye furaha tofauti na hapo zamani, na amenawiri bila shaka ana amani sana....
Atajulishwa na mwanae Joseph, usiwe na wasi wasiAnakula matunda ya uvumilivu wake yule dhalimu alimtesa sana huyu mama. Mapesa kibao na assets za kumwaga sijui kama anazijua zote na wapi zilipo.
Atajulishwa na mwanae Joseph, usiwe na wasi wasi
Mimi nilichokisoma nilikielewa aliyeenda kuonwa ni Mama Suzana Magufuli. Mama mzazi wa Rais Magufuli.
Na jina liliandikwa kabisa kuwa ni ‘Suzana Magufuli’. Siyo Janeth Magufuli.
Kusoma na kuelewa ulichokisoma ni jambo jema/ zuri sana!
wake wadogo mkijua inatosha.Anakula matunda ya uvumilivu wake yule dhalimu alimtesa sana huyu mama. Mapesa kibao na assets za kumwaga sijui kama anazijua zote na wapi zilipo.