Opobo Jaja
Senior Member
- Aug 16, 2025
- 181
- 250
Baada ya hapa nini kinafuata..?
😳Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Rose Ndauka, Winter, Bambo, Grace Mapunda, Lucy kombaNitajie super star watano tu kutoka kwenu nami nikutajie mmoja tu
Taja hata wanasiasa
Naiona chadema 2030 ikapata nguvu kubwa sana kama ilivyopata kwa lowasa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Tatizo kanisa halitaki
Kila akikaa muislam pale zengwe haliishi ila tutaona mwisho wake
Tuko na samia
Unataja hadi marehemu eti. Bambo umemtaja mara 2. Mm nakutajia mmoja tuRose Ndauka, Winter, Bambo, Grace Mapunda, Bambo
kwa nini akakataa kuendelea kunyonya mrija wa utamu ujajiuliza tuUsipitoshe.. Makamu wa kwanza hakujiuzulu.. Alimaliza mda wake, akaomba asiendelee.
Tukae Kwa kutulia.🙉Aisee sasa itakuaje wanetu
Aliyekuambia CDM kwasasa haina nguvu kubwa ni nani..??? Ingekuwa haina nguvu CCM ingefanya maridhiano na hivyo vyama uchwara..Naiona chadema 2030 ikapata nguvu kubwa sana kama ilivyopata kwa lowasa.
Nchimbi ameona nomaa kupelekeshwa na mazaa hausi.. 🙏Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Sijasema haina nguvu namaanisha kuimarika zaidi kupata wafuasi wageni kutoka chama kingineAliyekuambia CDM kwasasa haina nguvu kubwa ni nani..??? Ingekuwa haina nguvu CCM ingefanya maridhiano na hivyo vyama uchwara..
Uchambuzi wa kina sana huu, code hii ni 007kwa nini akakataa kuendelea kunyonya mrija wa utamu ujajiuliza tu
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. Nchimbi
6. polepole
yaan wote wajikate kufanya kazi na wewe ila bado umeshupaza shingo mm napendwa sana 98%
naona ccm imezoea kuwachukulia poa makada wake vigogo na kuwaona si chochote si lolote, kigogo yeyote wanaweza kumtosa na kumsulubu na hata kumpoteza siasani, rejea ya Nape, Polepole na wale wadogowadogo wanaoishi kwa matumaini wakiamini ipo siku watarudishwa hatamuni
Bora hata Kenya, huko Uganda sidhani kama kuna usalama.
Leo Museveni kamkaribisha Abdul huko Ikulu, we unaona kuna usalama mpaka hapo?
Paka hatekeki!Yeah upo sahihi Mkuu
Kwasasa wameiteka Afrika Mashariki kasoro kwa PK tu
Akili za mtu mjinga sana!
Ninaposema sana namaanisha sana,kichwani hauwezi hata mara moja kuwaza nje box la dini?