Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,840
- 7,756
BAKWATA watafurahi sana. Ni kutesa kwa za
“Mtu dhaifu mara nyingi hujiona anatisha, kwa sababu hajawahi kuona watu wenye nguvu wakiamua kunyamaza.”Simlikuwa mnamjaza humu kwamba ni kachero mbobevu hashindwi kitu now imekuwaje Tena !? 😆😆😆😆😆
Ila samuya licha ya madudu yake mazito it seems like she's scary more than a lion
Wana muogopa mnooo
Hahaaa nacheka kama mazuri
Hakuna kete. Nchimbi is gone. And asipokuwa makini ata 'GONESHWA' kwa akina polepole. Japo usiku mmoja kwenye siasa ni mkubwa.Mbona kama kuna kete inachezwa kwa akili sana.
Kwa nini ahadi yake kwa Samia iwe na umuhimu kuliko ahadi ya kuwatumikia Watanzania?Alimhaidi kuwa atamsaidia hadi pale ambapo atamchoka. Sasa amejidhirisha kuwa amemchoka. Hivi nini huelewi, unakuwa kama mtoto mdogo
Baada ya kifo Cha mpishi wake wa ofisini nadhani ameingiwa na hofu so amejiongeza.Maswali ambayo najiuliza.
Ni trick ipi waliyotumia kum force Nchimbi mpaka kuachia ngazi?
Maana huko nyuma kumekuwa na tetesi za Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.
Je usalama wake ulitishiwa? Au pengine ameamua kukubali kwa lengo la kulinda familia yake kwasababu ni easy target?
Kwasababu hili swala ukilitafakari kuwa ni maamuzi ya hiari, hali make sense kabisa.
MPango wakati anajiuzulu alisema umri umeenda anahitaji kukaa na familia yake. Sasa huyu nae hajataja sababuSababu ya kujiuzulu
Katiba haisemi hivyoChini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Nchii hii hakuna mtu anajiuzulu kwa kupenda.Kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa ndani ya ccm na dola,na kutofautiana kwa mitazamo baina ya namba 1 na 2 ni sahihi kabisa kwa namba 2 kufanya hayo maamuzi
Kwasababu mtu kama namba mbili atakuwa anafanya unafiki wakati dhamira yake inamsuta
Huenda ndio maana kaamua kujiudhuri kama hizi taarifa ni sahihi
unahisi peke yetu tutaweza? itabidi aghaili tu ili atusaidieAlishatuaga," alisema tukomae tupate katiba mpya"
Gazeti lipi hilo?Lile gazeti lililofungiwa nadhani ni muda sasa wa kufunguliwa na kufidiwa.
Mbona hii barua imekaa kimtindo flani ambao siuelewi...Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Nini hujui???? Yeye ni Msaidizi wa Rais hata PM! Ndiyo maana huwa wanaweka suti maofisini mwao maana anytime Rais anaweza kukutuma popote. Hivyo kama amekuchoka atakuondoa tuKwa nini ahadi yake kwa Samia iwe na umuhimu kuliko ahadi ya kuwatumikia Watanzania?
Kwani Nchimbi alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania au wa Samia?
Kwa nini unafikiri kuuana ndiyo kutaleta mabadiliko mazuri na si chaos zaidi?Namaanisha waendelee kuuana huko ndani maana kwa sasa mabadiliko kutoka nje hayafanyi kazi, inabidi waparuane wauane mpaka wao wenyewe huko ndani waitishe mabadiliko
Duuuh mbona hatariii hii, ndio maana Shibuda aliropoka, kumbe tayari walishakua na matokeo.
Woiiiih.
Anajali sasa, tena ndo kwanza yuko bize anapiga miluziKuna tatizo na hatari kubwa sana kwa huyu mama. Magufuli kafariki akiwa naye, Nchimbi kajiuzulu, Ndugai kajiuzulu, Tulia kajiuzulu, Polepole katekwa. Mauaji ya kutisha Hapa usalama wa Taifa uko unabunga