Kauli ya Raisi nchi nyingine ni tafsiri ya "utii wa sheria" lakini kwa Tanzania neno "Raisi" tafsiri yake ni power isiyokuwa na ukomo wa kimamlaka.
Makamu wa Rais ni kiongozi aliyechaguliwa na wananchi kwa kura, hivyo Raisi hana mamlaka kisheria ya kumshinikiza ajiuzulu.
Marekani ambapo tunakubali kwamba Trump ndiye Raisi powerful pengine kuliko wote, lakini bado hana mamlaka kisheria kumshinikiza makamu wake ajiuzulu.
Mchakato wa Makamu wa Raisi kujizulu huanzia bungeni na kuhitimishwa kwenye Baraza la Maseneta.
Huku kwetu Raisi anaweza kukushinikiza akijua kuwa ukijidai kukataa kwa kusimamia sheria, ataenda kwa familia yako.
Au laa anaweza kuweka mikakati ya hata kukuua.
Sasa hiyo ni abusing of power, sidhani kama hata inastahili kuiita "nguvu ya Raisi"
Kama kunawaKirahisi namna hio!
Hakuna kete yoyote wewe pokea matokeo Tu kwa maumivuMbona kama kuna kete inachezwa kwa akili sana.
Mbona kama kuna kete inachezwa kwa akili sana.
Au kama kubonyeza yaani.Kama kunawa
Hawachelewi kugeuza upepo angani
Hebu nitolee mapepo yako na weweHakuna mtu wa kukufikiria mkuu.
Sasa ili mziki uuenjoy vyemaMimi Starehe zangu baada ya Familia yangu ni Mziki. Sinywi pombe, sivuti sigara, siangalii Simba wala Yanga, na chumbani kwangu Sina takataka za tv
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi, Rais atapendekeza jina la Makamu Kisha litaingizwa Bungeni kwaajili ya kupigiwa kuraNaombeni ufafanuzi baada ya hili, utaratibu wa kumpata Makamu wa Rais mwingine upoje?
WanaCCM tufikirieni Watanganyika, msituumize kwa Maslahi binafsi mnapoenda kuchagua Makamu wa Rais mwingine.
Binafsi machungu ya October 2025 hayajaisha mpaka leo sasa msizidi kutuumiza.
Kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa ndani ya ccm na dola,na kutofautiana kwa mitazamo baina ya namba 1 na 2 ni sahihi kabisa kwa namba 2 kufanya hayo maamuziAt least bado tuna watu
At least bado tuna wazalendo
All the best utaandikwa kwenye vitabu vya historia ya nchii hii kwa kukataa uhuni.
Hebu nitolee mapepo yako na wewe
Huu ushauri wako ni mzuri natamani, sijapata platform wapi na weza kujifunza guitar especially Base GuitarSasa ili mziki uuenjoy vyema
Ungekuwa unafanya chombo chochote mfano
Saxaphone
Piano
Violin
Guitar nk
yaan ukiusikia wimbo unaenda kuufanya
mfano nipo nakagua status kuona reaction ya jamii..nkakutana na short clip ya dully sykes ( sijui kama nmepatia jina ) akiwa na zuchu nafkiri wanaimba wimbo wa zamani wa dully una maneno haya
Usinione naliaaah
Mi nakupenda Weeh
Kosa langu Kosa Langu...
sijui kitu gani kinafuataa sasa ile melody imenikaa hapa nachukua guitar naifanya vile moyo wangu utataka
Kwa ridhaa yake wapi 😆😆😆Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya