Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

View attachment 1784273hii sio heshima kabisa, Rais kabuli lake limezungushiwa mabati kama kibda cha kupaki gari, inamaana serikali haina hela kujenga vizuri hapo? familia nayo imeridhika?
Ujenzi wa apo mzuri hauzidi mil 150 standard kabisa so hata wabunge wa ccm mnashindwa fanya ilo mpaka kusubili serikali au familia, Mnatetea legacy yake wakati Mambo madogo hamfanyi, changeni laki 7 kila mmoja hapo bungeni mtakua mmepata ml 210 pendekeza mchoro wakabidhi serikali pitia waziri mkuu ,wakafanye Mambo ,
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.

Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.

Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye
Si tulisha malizana na huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom