Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

View attachment 1784273hii sio heshima kabisa, Rais kabuli lake limezungushiwa mabati kama kibda cha kupaki gari, inamaana serikali haina hela kujenga vizuri hapo? familia nayo imeridhika?
Sio serikali tu.. ina maana hata familia yake wamekosa hela ya kuzungushia tofali ikawa sehemu nzuri? ... Ni aibu aisee.. utasema ni nyumba ya kufugia
 
Waambie watoe hayo maua yaliyokauka na badala yake wapande bustan nzuuuri ya eden maana huko alipo yupo peponi.pia waambie watoe hayo mabat wajenge ukuta harakaharaka kama walivyokua wanajenga vile vibanda vya watu kukaa wakat ziara ya mwili wake. Waambie waache uvivu mwenyewe alikua akisisitiza watu wachape kazi usiku na mchana! Kama ni pesa za kujengea ukuta ndiyo hamna wambie warudishe benz la mzee mwinyi wapate hela ya kujengea kaburi. Kama imeshindikana waambie wasionyeshe picha za kaburi la mzee wasukuma tunaumia
Hapa walaumiwe familia yake.. kujenga hapo hata milioni kumi isingeisha na pangekuwa vizur sana.. sio kwa mwonekano huo, hayo majani unaweza kuta nyoka humo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom