Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Pasco naona umekubali maji yamekufika shingoni na Magamba...Naona unataja chama cha Wasaliti ata Mbunge akina why not NCCR or CUF?
Kwenye siasa za urais, kuna CCM, UKAWA na ACT tuu, hakuna CUF, Chadema wala NCCR Mageuzi!.

Pasco
 
nimeiogopa ukawa kwa makundi makubwa ya vijana yanavyojitokeza kujiaandikisha kt bvr. kama ccm haijaelewa tumeni mashushu wenu mkaulizie why vijana wengi ivyo kt kujiaandikisha na ndo mtajua jinsi ccm ilivyopaniwa uku vibibi na vibabu vya ccm vikikwama ktk zoezi kwa sababu ya mikono yao kushindwa kusoma ktk bvr
 
Kura haziibwi manually !!

Nyie mtabaki na idadi tu ,ila atakazopewa Lubuva kule dar ni tofauti na za site!!

Rais atatoka CCM hata kama mshindi atakuwa wa upinzani

Tunazijua hila zote zinazopangwa kufanyika, manually na electronically, ukiwa ni mojawapo ya mipango baada ya ule wa kutaka kujiongezea muda kushindikana kwa pressure ya UKAWA.
 

Tunazijua hila zote zinazopangwa kufanyika, manually na electronically, ukiwa ni mojawapo ya mipango baada ya ule wa kutaka kujiongezea muda kushindikana kwa pressure ya UKAWA.

MaCCM yapo kwenye kiganja cha UKAWA kila mbinu chafu intelejensia ya UKAWA huwa inazidaka mapema, cha muhimu yajuandae kisaikolojia kuwa wapinzani hiyo October
 
Uoga na kukosa ufahamu na maarifa ndio WTZ walivyo wengi ni mawazo .mgando..tena usipoteze muda kuwasikiliza
 
hatuwezi jadili wevi sisi ila twawaambia kwiba sasa bass
 
Ww bado ni msukule wa ccm Watz hawako hv jins unavyofikiria wewe, UKAWA ndio tumain la Watz ccm imechokwa..

Mdau,jamaa amemaanisha kitu,na ukimsoma between lines utaelewa kwa nini kasema vile.
Utakumbuka Bunge Maalum la Katiba?

Kuna ule msemo ulisemwa(nadhani na bwana Pasco au Tupatupa)kuwa kura za BMK zisipotosha ZITATOTESHWA! Kwa kutumia nadharia ile na mazingaombwe yale yale,mchangiaji ndo akaweka angalizo hilo,kadri mimi nilivyomuelewa between dots!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom