Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Sina imani kabisa na ukawa,kama vyama vinne vinashindwa kupampana na chama kimoja si dhani kama watapambana na matatizo mengi ya watanzania. Strongest man is he who stands alone.
 
Sina imani kabisa na ukawa,kama vyama vinne vinashindwa kupampana na chama kimoja si dhani kama watapambana na matatizo mengi ya watanzania. Strongest man is he who stands alone.
Huyo tulio mshindwa ni nani? October si mbali
 
Ccm ni sayari ingine tegeeni tuu hapo ndio uwezo wenu umeishia hapo
 
Ningetamani Makongoro arudi kwenye chama chake cha NCCR akayaachia hayo wenyewe. Vibaka hao watamchomolea kile kifimbo alichoridhishwa jamani. Mlio karibu naye mwambieni. Haoni utulivu huku ka upepo wa ufukweni jioni??
Hongera mzee Makaidi kwa kuwaziba vinywa
 
Chadema bana, mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe subirini oktoba.
 
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Dr Emmanuel Makaidi amewataka wafuasi wa UKAWA kote nchini kutojishughulisha na mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM.

Dr Makaidi ambaye pia ni Mwenyekiti wa NLD amesema badala yake wanachama wote waendelee kuijenga UKAWA huku wakisubiri kutangazwa mgombea mmoja atayepeperusha bendera ya UKAWA kugombea Urais ambaye pia akishatangazwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa Tanzania.

Dr Makaidi aliyekuwa akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Masasi ametangaza pia nia ya kugombea Ubunge Masasi mjini kwa tiketi ya UKAWA.

Ikumbukwe Watanzania wana Imani kubwa na UKAWA na pia wanaamini umoja huo unaoundwa na vyama vya NLD,CHADEMA,NCCR na CUF utapendekeza mgombea mwenye ushawishi mkubwa na uwezo wa kupambana na rushwa na kuwaondolea umaskini.

Chanzo: Chanel ten Habari.

Dr makaidi kama siyo kaidi naomba majibu yafuatayo hivi mgombea binafsi na ukawa kuna tofauti yoyote? (unregistered association)
 
Kura haziibwi manually !!

Nyie mtabaki na idadi tu ,ila atakazopewa Lubuva kule dar ni tofauti na za site!!

Rais atatoka CCM hata kama mshindi atakuwa wa upinzani

Hapo ndio tunapataka sasa. 2010 tulinyamaza safari hii huo mtiti wake mbona lazima tuende kwenye meza ya mazungumzo chini ya viongozi wa jumuiya za kimataifa.
 
Kwa kuwa watu toka ccm ni waizii....wajisndae kuiba Sana mwaka huu Kama walivyozoea....shetani SSM hataweza zuia nguvu ya um a....mm yananikera yaone...wabunge wao hawatetei maslah ya nchi kabisa....
 
Sina imani kabisa na ukawa,kama vyama vinne vinashindwa kupampana na chama kimoja si dhani kama watapambana na matatizo mengi ya watanzania. Strongest man is he who stands alone.

Sasa huna imani na UKAWA, hivyo una imani na nini sasa mkuu, ACT wazawa au?
 
kila la heri Dr.Makaidi katika safari yako ya kugombea ubunge kupitia UKAWA ushindi kwetu ni kawaida .ccm ipo kwenye mstari wa kifo.
 
Labda wewe na mke wako ndio mtakuwa chini ya CCM hadi hiyo miaka 2035, Ila kwa sisi watanzania tunaojitambua CCM kitageuka kuwa chama cha upinzani October.

Labda muingie msituni, ila watanzania walio wengi bado hawako radhi kuwapigia kura UKAWA kwenye ngazi ya urais!

Huu ndio ukweli!
 
Ukawa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi wao waendelee na kuboresha vyama mambo ya kuongoza nchi ni ccm tu

kwani mkuu CCM wameiongoza au wamerudisha nyuma? maana kuongoza ni kupeleka mbele au kirivasi rivasi?
 
@Pasco
Ndivyo mnavyochanga karata zenu hivyo? Sasa mbona mmechoka kiasi kwamba hata hamna tena turufu za maana, achilia 'ya' maana.

Labda huu uzi hapa ulikupita haukuusoma kama na gazeti pia hukusoma, ni vyema ukatulia usome hapa;

Usisahau pia kuwa 'mbuzi wa shughuli' ni CCM pamoja na
Mkuu Tumaini Makene, heshima mbele!, asante kwa uzi, nitausoma!.
Pasco
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom