Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Tunazijua hila zote zinazopangwa kufanyika, manually na electronically, ukiwa ni mojawapo ya mipango baada ya ule wa kutaka kujiongezea muda kushindikana kwa pressure ya UKAWA.

Wanapaswa kujua walikolalia ndiko tulikoamkia..CCM is a rotten system!
 
Mbatia _Vunjo, Makaidi _ masasi, Mbowe _Moshi mjini, Kwaiyo bado Dr slaa + Prof Lipumba.

Mmoja rais mwingine makamu. Shida ni kwamba, katiba hairuhusu muungano wa vyama vya siasa, pili tume ya uchaguzi bado sio huru.

Haya mawili yakifanyiwa kazi, UKAWA nawapa ushindi. Wakishindwa kuyapigania haya ni bora wajitoe kushiriki uchaguzi mkuu ili kushinikiza haya yafanyiwe kazi.

Mgosi
 
Miaka 53 Tanzania iliyojaaliwa kila ain ya rasilimali lakini watu wake wametopea kwenye umaskini uliopindukia wakati wote dereva ni CCM. Hakika nia na sababu ya kubadili dereva na mfumo aka CCM tunayo sasa. Muda muafaka ni mwaka huu 2015 kuliko muda mwingine wowote

UKAWA for Presidency, Naiona CCM wakiwa chama cha upinzani kuanzia october 2015
 
Mzee Makaidi safi sana. tuko nyuma yako kwa ajili ya kugombea ubunge Masasi.
 
makaidi amechagua fungu lililojema...

kina silaa na wengine fuateni njia hiyo
 
Ikumbukwe Watanzania wana Imani kubwa na UKAWA na pia wanaamini umoja huo unaoundwa na vyama vya NLD,CHADEMA,NCCR na CUF utapendekeza mgombea mwenye ushawishi mkubwa na uwezo wa kupambana na rushwa na kuwaondolea umaskini.
Nilipochangia uzi huu, nilisema hivi
Huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".

Pasco
Nlipomtaja "the one and only" nilijibiwa tena kwa kutukanwa EH!.
[/QUOTE]
Nilishakupuuza siku nyingi sana kwa sababu always you are empty headed!
Na Mkuu TM akajazia
@Pasco
Ndivyo mnavyochanga karata zenu hivyo? Sasa mbona mmechoka kiasi kwamba hata hamna tena turufu za maana, achilia 'ya' maana.
Usisahau pia kuwa 'mbuzi wa shughuli' ni CCM pamoja na
Nakumbuka mara yangu ya kwanza na ya mwisho kula ban humu jf, kulisababishwa na wewe, hivyo najitahidi sana kuwa makini nisije nika ku provoke nikaishia kula ban ya pili!.

Aliyesema upinzani wa kweli ni lazima utatoka CCM sio mimi, au na yeye pia ni empty head kama mimi?!.

Hatuna haja ya kutukanana sijui empty headed or what, we are just counting days, he who laugh last laugh most, na he who cried last cried most, fainali ni tarehe 25 October, kuna watu watalia na kuna watu watacheka, tuangalie nani atalia na nani atacheka, sisi wengine kazi yetu itakuwa ni kuzomea tuu, kwa sababu hapo ndipo kwenye proof ya empty heads na full heads!.

All the best full headed!.

Pasco (empty headed!).
Licha ya sisi kuitwa HE kwa ajili ya EL, lakini leo, hivi ndivyo EL anavyokuwa addressed!.
WanaJF,
Kamanda mpambanaji na asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa
Nimependa jinsi ulivyompamba huyu Kamanda, na kujifikirisha jinsi ulivyomzungumza kabla!.

All and all, maadamu sasa sote tuko njia moja, tuheshimianeni huku tukikumbushana kwa lengo la kuweka kumbukumbu sawa, tulisema nini, lini, na sasa kinatokea nini!.

Who was right and who was wrong!, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!, mwanzo mlifanya makosa, yamepita, a way forward ni kukubali kosa, kutorudia kosa na sasa tusonge mbele!.

Asante.

Kwakweli Pasco seriously unahitajika kuwepo serikali ya.UKAWA kwa post yoyote ile ambayo muheshimiwa ataona unaimudu.

Wewe ni think tank, mara nyingi wakweli na wanaoona mbali upuuzwa na kudhihakiwa lakini finaly kweli usimama.
 
Last edited by a moderator:
Kova kikwete anakudandanya yaani mmeona yamewashinda ukaamua kusitisha maandamano kupita ofic za cuf???? Mbona magufiri hukutoa limitation?? Lowasa akishinda hama nchi
 
Na Mkuu TM akajazia
Kwakweli Pasco seriously unahitajika kuwepo serikali ya.UKAWA kwa post yoyote ile ambayo muheshimiwa ataona unaimudu.

Wewe ni think tank, mara nyingi wakweli na wanaoona mbali upuuzwa na kudhihakiwa lakini finaly kweli usimama.
Mkuu Matola, kwanza asante!.

Pili mimi Pasco wa jf, nina matatizo makubwa mawili!.

  1. Mimi na active politics ni mbali mbali, sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, na hata uungaji wangu mkono kwa EL ni humu jukwaani tuu, mimi sio team EL sijawahi kujihusisha na harakati zake zozote akiwa CCM nadhani hata sasa naendeleza msimamo huo!.
  2. Niliachana rasmi na utumwa wa kutumwa mwaka 2002!, hivyo kurejea utumwani ni issue.

Sina uhakika kama itikadi ya vyama inakuandama au mtu, ila pia sijui kama baadhi ya maandishi yako hukufanya kuonekana ndumilakuwili,

Kunajambo 1 tu ambalo hujajitambua kuwa huwa unaogopa kusema ukwel kwa sabb ya masilahi, yawe ya moja kwa moja(direct benefits) au indirect,

Sasa kumbuka dayz are numbered, weka akiba.huyo unae mtete hata kama atashinda ufisadi wake hauondoki kwa maneno ya pasco,

Mhim ni kutambua kuwa alipokuwa ccm alikuwa fisadi, ila alipokuja cdm/ukawa amekuwa mtakatifu, ki ukwel kunawakati nikiwatizama watu wanamsuport edo nahic kama kunakitu hakipo sawa kwao.. ila ck zimebaki chache...

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom