Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Huyu mzee anazeeka vibaya,kura kwa lowassa tu.
Watanzania wamechoka na Mafisadi wa ccm
Huyu mzee anazeeka vibaya,kura kwa lowassa tu.
Ccm wanachoweza kutawala kwa sasa hivi ni ufisadi tu siyo Tanzania TenaHata ukawa kiwango chao ni kuongoza vyama sio nchi tafakari sana kbla ya kutoka povu
Nivema ujitambue kwanza kabla ujatambuliwa
Nenda kamwambie aliyekutuma umepotea njia Ukawa ndio tumaini la watanzaniaInaweza kuwa tumaini lakini nipale tu ukawa itaweka viongozi wenye kujipima kwanza wenyewe, na kwa wale wenye uzalendo wa kweli ktk nafsi zao wa kuwatumikia watanzania Hapo ndipo itakapo kamilika neno tumain la watanzania, vinginevyo Tumaini litapatikana kwa WAZALENDO wa kweli mapambano ndio ya matumain ya kweli ndio yameanza sasa. TEAM WAZALENDO
Makaidi,Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Dr Emmanuel Makaidi amewataka wafuasi wa UKAWA kote nchini kutojishughulisha na mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM.
Dr Makaidi ambaye pia ni Mwenyekiti wa NLD amesema badala yake wanachama wote waendelee kuijenga UKAWA huku wakisubiri kutangazwa mgombea mmoja atayepeperusha bendera ya UKAWA kugombea Urais ambaye pia akishatangazwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa Tanzania.
Dr Makaidi aliyekuwa akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Masasi ametangaza pia nia ya kugombea Ubunge Masasi mjini kwa tiketi ya UKAWA.
Ikumbukwe Watanzania wana Imani kubwa na UKAWA na pia wanaamini umoja huo unaoundwa na vyama vya NLD,CHADEMA,NCCR na CUF utapendekeza mgombea mwenye ushawishi mkubwa na uwezo wa kupambana na rushwa na kuwaondolea umaskini.
Chanzo: Chanel ten Habari.
Huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".
Pasco
Sijaelewa, Dr Makaidi katoboa siri gani!!!
Makaidi,
Itakuwa ngumu kwa UKAWA kuacha kujadili wagombea wa CCM maana hiyo fursa hawaipati kwenye UKAWA.
sweetlady
Wanapaswa kufahamu kwamba kila Kata nchi hii tuna Red Brigade 200.Wasitarajie kuiba hata kura moja.Tutawacharaza bakora kama mbwa koko.Mimi binafsi nitaongoza vikosi vya RB katani kwangu.
Ndio Mnavyopanganga kwenye vile vikao venu vya waganga wa kienyeji?Kura haziibwi manually !!
Nyie mtabaki na idadi tu ,ila atakazopewa Lubuva kule dar ni tofauti na za site!!
Rais atatoka CCM hata kama mshindi atakuwa wa upinzani
Hata ukawa kiwango chao ni kuongoza vyama sio nchi tafakari sana kbla ya kutoka povu
kwa waswahili maiti inaheshimiwa sana na ndiyo maana wao hawaiti "Maiti hii" bali husema "maiti huyu" kwenye kujenga hoja kwa vile tunatumia lugha ya kiswahili basi tuzifuate na tamaduni zake za kuelezea jambo.CCM ni sawa na maiti inayojisaidia haja barabarani, hakuna fisadi yeyote atakayeachwa salama na nguvu ya umma mwaka huu.
Nchi ipi
Makaidi,
Itakuwa ngumu kwa UKAWA kuacha kujadili wagombea wa CCM maana hiyo fursa hawaipati kwenye UKAWA.
Sasa utamuagizaje mtu asiejua kama katumwa arudishe majibu, ukweli upo palepale biya mzalendo wa nafsi na matendo yake nchi hii bado matumain