Makaidi yule mlevi wa gongo ambaye anavaa koti mwezi mzima bila kufua atatuambia nini huyu asiyejitambua.
Ukiwa CCM ni lazima kwanza ukubali kuukana utu na ufahanu wako.
UmenenaUkiwa CCM ni lazima kwanza ukubali kuukana utu na ufahanu wako.
Mkuu,sijui kwa nini watu hawalioni hili!
Hata viongozi wakuu wa vyama vya upinzani wanalijua hilo,raisi lazima atatoka CCM.
Huwezi ukaenda kwenye uchaguzi bila ya mambo ya msingi kufanyiwa kazi halafu ukategemea upinzani kushinda. Kwani mambo waliyokuwa wanayapigia kelele yarekebishwe yamerekebishwa?
Hapo ndipo ninapoona na kuamini kuwa vyama vya upinzani bado havipo makini kabisa.
Nibora wakutane na simba kuliko wakutane na Ukawa maana wanajua ndio Rais atapatikana hapoUkichukua njiti ya kiberiti ukagusisha kwenye matumbo yao kwa nje lazima itawaka!
UKAWA ilishakufa kabla haijazaliwa, hayo yote wanayoyafanya ni maombolezo wakati tukisubiri mazishi tarehe 25/10.
Huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".
Pasco
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Dr Emmanuel Makaidi amewataka wafuasi wa UKAWA kote nchini kutojishughulisha na mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM.
Dr Makaidi ambaye pia ni Mwenyekiti wa NLD amesema badala yake wanachama wote waendelee kuijenga UKAWA huku wakisubiri kutangazwa mgombea mmoja atayepeperusha bendera ya UKAWA kugombea Urais ambaye pia akishatangazwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa Tanzania.
Dr Makaidi aliyekuwa akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Masasi ametangaza pia nia ya kugombea Ubunge Masasi mjini kwa tiketi ya UKAWA.
Ikumbukwe Watanzania wana Imani kubwa na UKAWA na pia wanaamini umoja huo unaoundwa na vyama vya NLD,CHADEMA,NCCR na CUF utapendekeza mgombea mwenye ushawishi mkubwa na uwezo wa kupambana na rushwa na kuwaondolea umaskini.
Chanzo: Chanel ten Habari.
Huyu mzee anazeeka vibaya,kura kwa lowassa tu.
Inaweza kuwa tumaini lakini nipale tu ukawa itaweka viongozi wenye kujipima kwanza wenyewe, na kwa wale wenye uzalendo wa kweli ktk nafsi zao wa kuwatumikia watanzania Hapo ndipo itakapo kamilika neno tumain la watanzania, vinginevyo Tumaini litapatikana kwa WAZALENDO wa kweli mapambano ndio ya matumain ya kweli ndio yameanza sasa. TEAM WAZALENDOUkawa Ndio Tumaini la Watanzania hakuna haja yakuwasikiliza wauzasura wa kila leo
Taifa linahasara kweli hili ei huyu molemo naye anataka agombee ubunge wakati yeye mzee halafu akili za kibavicha umeandika utumbo gani sasa eti siri hovyo.