Pasco
Sina uhakika kama itikadi ya vyama inakuandama au mtu, ila pia sijui kama baadhi ya maandishi yako hukufanya kuonekana ndumilakuwili,
Kunajambo 1 tu ambalo hujajitambua kuwa huwa unaogopa kusema ukwel kwa sabb ya masilahi, yawe ya moja kwa moja(direct benefits) au indirect,
Sasa kumbuka dayz are numbered, weka akiba.huyo unae mtete hata kama atashinda ufisadi wake hauondoki kwa maneno ya pasco,
Mhim ni kutambua kuwa alipokuwa ccm alikuwa fisadi, ila alipokuja cdm/ukawa amekuwa mtakatifu, ki ukwel kunawakati nikiwatizama watu wanamsuport edo nahic kama kunakitu hakipo sawa kwao.. ila ck zimebaki chache...
TAFAKARI CHUKUA HATUA