Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
UKAWA ilishakufa kabla haijazaliwa, hayo yote wanayoyafanya ni maombolezo wakati tukisubiri mazishi tarehe 25/10.
Waliokufa ni hao wanaopigana vijembe huko ccm
UKAWA ilishakufa kabla haijazaliwa, hayo yote wanayoyafanya ni maombolezo wakati tukisubiri mazishi tarehe 25/10.
Laada nikwambie Ukweli Rais ajae anatokea UkawaHuu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".
Pasco
Sioni siri yeyote iliyotobolewa hapo
Huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".
Pasco
Hakuna chama kilichosajiliwa kwa jina la UKAWA
Unaumwa kweli , atakuwa je CCM kupitia UKAWA ? Kupitia Act yEs maana hilo ni tawi la CCMHuu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".
Pasco
MKuu labda Uligeuza gazeti ulikuwa unazungumzia CCM, maana huko ndio Mpaka sasa Chama Kina KAMBI 30 za wagombea, Hivi Hujasikia Yalio Mpata MEMBE leo huko Mbeya, Wana CCM wenzie wamemtenga? sasa kutakalika vipi?
Ccm kuna wakuongoza nchi au kuongoza ufisadiUkawa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi wao waendelee na kuboresha vyama mambo ya kuongoza nchi ni ccm tu
Mie nangoja kujiandikisha japo NEC wanaficha ratiba hapa Mwanza ila m/kiti wangu wa mtaa kapambana mpaka ratiba kaipata
Ukawa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi wao waendelee na kuboresha vyama mambo ya kuongoza nchi ni ccm tu
Rais wa mwaka huu atatoka CCM!!
Sijasema atashinda wa CCM, ila atatoka huko.
Watch this space.
Sioni siri yeyote iliyotobolewa hapo
CCM kateni rufaa kwenye hili
Taifa linahasara kweli hili ei huyu molemo naye anataka agombee ubunge wakati yeye mzee halafu akili za kibavicha umeandika utumbo gani sasa eti siri hovyo.
Mkuu,sijui kwa nini watu hawalioni hili!
Hata viongozi wakuu wa vyama vya upinzani wanalijua hilo,raisi lazima atatoka CCM.
Huwezi ukaenda kwenye uchaguzi bila ya mambo ya msingi kufanyiwa kazi halafu ukategemea upinzani kushinda. Kwani mambo waliyokuwa wanayapigia kelele yarekebishwe yamerekebishwa?
Hapo ndipo ninapoona na kuamini kuwa vyama vya upinzani bado havipo makini kabisa.