SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,142
- 9,696
- Thread starter
- #141
Ni watu wazuri ila usiwachezee uwe serious nao au watakupa kitu utahadithia kila mahaliTupe updates. Vipi kuhusu sisi Wazanaki?
Ni watu wazuri ila usiwachezee uwe serious nao au watakupa kitu utahadithia kila mahaliTupe updates. Vipi kuhusu sisi Wazanaki?
Hahahahaa weh pole mtanii ila ndio ukweliIli kuonyesha sisi wapare ni wachawi very good na hujakosea kutuweka Namba moja hapo.
Naomba picha ya kiganja chako cha mkono wa kushoto, then nipe siku saba, nyapu naiweka kwenye paji la uso.
Fact💪Jamii za kichaga na wapare ambao wanaendekeza Ushirikina ni kwa zile koo ambazo chimbuko lao walimuacha elimu akaenda zake.
Jamii za wapare waliopiga shule vizuri huwezi kuta wanawaza upuuzi wa uchawi na ushirikina.
Nilishakuambia bhana🤣We kumbe mnyaki na husemi
Nani kakuletea hiyo testimony? Lol😆
Haya uje Pm nikupe zawadi yakoNilishakuambia bhana🤣
Bei ya kuku mgonjwa imezidi sana 7k 😎70k kama shamba boy sio!
1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.
2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na maendeleo .
Usijitambue yaani wakipeleka jina lako kwa mizimu yao kwisha upo upo tu .
Wajinga hawa . Hawapendi wenzi wao wawapite kwangu hiki nikisa cha kweli.
WAchukua nyota za wenzi wao nakuzitumia .
Jingine wao wanajua kunyapia chochote kizuri cha mwenzi wao wapo tayari kuwa na wanawake tofauti kukusanya riziki zao na nyota zao . Wakimya na hawapendagi kukuonyesha dalili yeyote ya mipangilio yeyote.
Hawana huruma huwa kufanikisha ndoto zao ilimradi familia yake ipate matunzo. Sio familia ya kwenye ndoa alipozaliwa .
Wachagga wanamila na desturi za kishirikina sana matambiko yao ni ya kifreemanson sana hadi inatisha akijua nyota yako nzuri anaichukua na kuitumia kwa mambo yake na hutojua .
Kabila lingine ni wambulu . Wao wanapenda kuteka watua akili wapo kama wapare .
Ni wachawi sana hawapendi wenzi wao wawasaidie familia alikozaliwa .
Ni yeye tu na ndugu zake .
Hawajatulia .
Hata kidogo . Wao wanawake kila daily .
Wakurya wao wanapenda kuweka kinyongo , hawajiamini wanaweza kuua mtu kisa kutomuamini mwenzi wake . Anampiga mwanamke kila daily
Hadi wanaua kwa wivu .
watu wakigoma na waluguru hawa ni balaa hawa watu ni wana roho mbaya sana .
Wachawi mnooo.
Hata wasukuma japo hao wanapenda wake zao ila kwa uchawi basi tu . Yaani wachawi .
NA wengine wanyakyusa .....
Si ndiooooooooooooooo, kama unakuwepogo vile 😎Ndio huyo unayempasulia yai daily😆
Ni kujikaza kiume tu mwanetu!Bei ya kuku mgonjwa imezidi sana 7k 😎
Unakwama sana dogo! Halafu kumepoa mno umeyapumzisha maparody yako nini?😁Si ndiooooooooooooooo, kama unakuwepogo vile 😎
C unaona list wapare tupo nambari uno kwa uchawi 🔥Nani kakuletea hiyo testimony? Lol😆
Nyie ni uchoyo tu vingine watawasingizia! uchawi una wenyewe wametulia zao low key wanawazoom tu mnavyorushiana mabao😎C unaona list wapare tupo nambari uno kwa uchawi 🔥
Kimya huja na kishindo kikuu, safari hii natuma zile picha zako za private ulizonitumiaga view once mm nikapiga picha na simu nyngn 😎Unakwama sana dogo! Halafu kumepoa mno umeyapumzisha maparody yako nini?😁
Aisee! Kumbe kubadilisha mboga si haba bwana muuza vyuma chakavu nilikuwa nawaza natoa wapi, haya uje kubeba vyuma hapa kwangu kesho mapema🤸🏽♂️Kweli anayo mke na watoto 3 anauza vyuma chakavu na makatapila na vifaa vya makatapila chakavu anahela kiasi chake
UNanitishia au ??Bora angeandika kishabiki. Hajui alichoandika