Ukitaka waganga konk nendaMna penda kwenda kwa waganga na sehemu zenu za kuroga ni miliman nime kaa na wapare nawajua sanaaa
Mna penda kwenda kwa waganga na sehemu zenu za kuroga ni miliman nime kaa na wapare nawajua sanaaa
Wewe hujui kitu, kwamba mpare ni mchawi kuliko MZIGUA?? Bado unasafari ndefu sana
Hiyo emanje umeandika kama matamshi ya kifaransa! Mbaga kuoa labda miaka 10 ijayo alishasema wanawake wote ni malaya, kila mtu kwake anajiuza na bao la mkono limeshamuathiri mpaka ubongo!
Ameandika kiushabikiHuyo hana ajuacho.
Mpare hata Msambaa hampati.
Ameandika kiushabiki
Binti alishindwa kuendana na akili ya pesa ya mchaga , amazima fegi kiazi huyoMkuu
Japo sijaulizwa me ni mchaga wa machame upande wa Baba, Na mama ni kutoka old moshi,
Nashangaa sana huyu binti anasema wachaga ni wachawi , ni wachaga wapi hao anawaongelea
Hivi mshiki na monowama ni sawa eeh🤣🤣Ngamkumanya , mshiki😅
Eeeh ila kweli wewe ni good boy sina shaka na wewe kabisaSasa mtu amesha toka na mpare, mchaga , Mbulu, mkurya, mnyakyusa atakosa kupigwa matukio yanayo fanana na uchawi.
Mi mtakatifu bwana.
Hata hiyo 150 Mbaga hana!😆
Tuondoke.Kweli ? Nikuulize swali?
Ajipange haswaa!Hii imezidi sasa.