comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,099
- 16,082
😆😆 Tukipige sasa kichaga cha mamsera ndanindaniBwashee mimi ni mchaga og hizo mambo za herehoa acha kabisa 😅😅
😆😆 Tukipige sasa kichaga cha mamsera ndanindaniBwashee mimi ni mchaga og hizo mambo za herehoa acha kabisa 😅😅
We mpishi mimi sio mpare
Niliuliza makusudi, maana huwezi kujua huenda na mimi naonekana afya ya akili imepata shida😅😅Kibao tu humu wanahitaji kumuona daktari!
Kwenye ule uzi wa washamba wa dsm, uliniandama sana, kumbe we ni mchaga wa hapo kishumundu ndo maanaKwamba Wachagga na Ushirikina siyo?🤔
Uzi wako generally unamlenga Mchagga hao Wapare na wengineo ni blah blah tu...
Karibu Uchagani Mrembo.
huna Akili1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.
2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na maendeleo .
Usijitambue yaani wakipeleka jina lako kwa mizimu yao kwisha upo upo tu .
Wajinga hawa . Hawapendi wenzi wao wawapite kwangu hiki nikisa cha kweli.
WAchukua nyota za wenzi wao nakuzitumia .
Jingine wao wanajua kunyapia chochote kizuri cha mwenzi wao wapo tayari kuwa na wanawake tofauti kukusanya riziki zao na nyota zao . Wakimya na hawapendagi kukuonyesha dalili yeyote ya mipangilio yeyote.
Hawana huruma huwa kufanikisha ndoto zao ilimradi familia yake ipate matunzo. Sio familia ya kwenye ndoa alipozaliwa .
Wachagga wanamila na desturi za kishirikina sana matambiko yao ni ya kifreemanson sana hadi inatisha akijua nyota yako nzuri anaichukua na kuitumia kwa mambo yake na hutojua .
Kabila lingine ni wambulu . Wao wanapenda kuteka watua akili wapo kama wapare .
Ni wachawi sana hawapendi wenzi wao wawasaidie familia alikozaliwa .
Ni yeye tu na ndugu zake .
Hawajatulia .
Hata kidogo . Wao wanawake kila daily .
Wakurya wao wanapenda kuweka kinyongo , hawajiamini wanaweza kuua mtu kisa kutomuamini mwenzi wake . Anampiga mwanamke kila daily
Hadi wanaua kwa wivu .
watu wakigoma na waluguru hawa ni balaa hawa watu ni wana roho mbaya sana .
Wachawi mnooo.
Hata wasukuma japo hao wanapenda wake zao ila kwa uchawi basi tu . Yaani wachawi .
NA wengine wanyakyusa .....
Wenye shida hata huwa hawajishtukii sasa ndio ajabu yake!Niliuliza makusudi, maana huwezi kujua huenda na mimi naonekana afya ya akili imepata shida😅😅
Kwa maana hiyo nitakuwa sawa, si ndio..hahaha😅Wenye shida hata huwa hawajishtukii sasa ndio ajabu yake!
Kabisaa babu’akee!Kwa maana hiyo nitakuwa sawa, si ndio..hahaha😅
Mtoa mada atakua kizazi cha zamani miaka ya 70mada za kisenge. ndio maana siingii jf siku hizi
Mbali na kwamba me ni mchaga OG,
Nimezaliwa same na kusoma primary pale same, hawa jamaa kuhusu uchawi hawajasingiziwa
Hawa jamaa hapa chini wote ni wapare watakuja kujazia
Mbaga Jr
Vishu Mtata
Extrovert
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Hivi unaweza kusema wachagga na wapare wana uchawi kweli wakati wasukuma wangine mpaka leo wanateka albino! Kigoma na sumbawanga kumejaa uchawi
Kwenye ule uzi nilikupuuza....Na hapa nakupuuza tena...Kwenye ule uzi wa washamba wa dsm, uliniandama sana, kumbe we ni mchaga wa hapo kishumundu ndo maana
Maeneo yote ulikopita nimeishi sana.Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni Arusha
Kweli ? Nikuulize swali?Maeneo yote ulikopita nimeishi sana.
Wapare na uchawi hamna mfano mpare na roho mbaya ni damu damu Half american