Makabila ambayo bora uwe single

Makabila ambayo bora uwe single

Kimya huja na kishindo kikuu, safari hii natuma zile picha zako za private ulizonitumiaga view once mm nikapiga picha na simu nyngn 😎
Mpaka nimekutumia picha umeniweka mjini sana, wewe mia huna labda utume za ex wako usingizie ni zangu🤣

Fufuka basi nimemis kuhangaishana na wagonga ulimbo wa humu🤸🏽‍♂️
 
Kwenye uchawi tupo vzr ila mm niliwahi kuondoka kijijini japokuwa babu kila mara ananiambia nirudi kijijini anipe mikoba, sasa cjui hiyo mikoba ndani Kutakuwa na dhahabu au vp 😎
Dhahabu maviii, wachawi na umaskini ni bampa to bampa! Kama mko vizuri kwanini daily unatemwa na utumishi?
 
Ni kujikaza kiume tu mwanetu!
Hawa wakila kuku wanaugua , ni wachungu wanaongoza kwa vidonda vya tumbo kisa maharage kwa wingi , makandee , mboga za majani .
Fikiria mtu amejifungua anapikiwa ugali wamoto na mlendaa jamani wanasema eti mlenda unaongeza maziwa ya mtoto huonagi asilimia kubwa ni wamesinyaa ndio maana wengi wao ni wajanja maana hawana afya
 
1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.

2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na maendeleo .
Usijitambue yaani wakipeleka jina lako kwa mizimu yao kwisha upo upo tu .
Wajinga hawa . Hawapendi wenzi wao wawapite kwangu hiki nikisa cha kweli.
WAchukua nyota za wenzi wao nakuzitumia .

Jingine wao wanajua kunyapia chochote kizuri cha mwenzi wao wapo tayari kuwa na wanawake tofauti kukusanya riziki zao na nyota zao . Wakimya na hawapendagi kukuonyesha dalili yeyote ya mipangilio yeyote.
Hawana huruma huwa kufanikisha ndoto zao ilimradi familia yake ipate matunzo. Sio familia ya kwenye ndoa alipozaliwa .

Wachagga wanamila na desturi za kishirikina sana matambiko yao ni ya kifreemanson sana hadi inatisha akijua nyota yako nzuri anaichukua na kuitumia kwa mambo yake na hutojua .

Kabila lingine ni wambulu . Wao wanapenda kuteka watua akili wapo kama wapare .
Ni wachawi sana hawapendi wenzi wao wawasaidie familia alikozaliwa .
Ni yeye tu na ndugu zake .

Hawajatulia .
Hata kidogo . Wao wanawake kila daily .

Wakurya wao wanapenda kuweka kinyongo , hawajiamini wanaweza kuua mtu kisa kutomuamini mwenzi wake . Anampiga mwanamke kila daily
Hadi wanaua kwa wivu .

watu wakigoma na waluguru hawa ni balaa hawa watu ni wana roho mbaya sana .
Wachawi mnooo.
Hata wasukuma japo hao wanapenda wake zao ila kwa uchawi basi tu . Yaani wachawi .

NA wengine wanyakyusa .....
Na Sisi wasukuma mbona hatuna ROHO mbaya
 
Back
Top Bottom