ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,878
- 39,959
Ndiyo kabila gani hilo darling 🤪Kabila linalopendwa na wanawake zaidi Darling 😅
Ndiyo kabila gani hilo darling 🤪Kabila linalopendwa na wanawake zaidi Darling 😅
Unanikatisha Tamara mkuu kwan hua napanga kwenda kuoa singida watoto wazuri.🫢🫢🫢Niliwasahau wapi hivi vitu??
Kanda ya ziwa moja Darling 😊.Ndiyo kabila gani hilo darling 🤪
Kwahiyo kila siku nitakua nakula sato🤭Kanda ya ziwa moja Darling 😊.
Siyo swali tena hili, ni jibu 💯Kwahiyo kila siku nitakua nakula sato🤭
Nitake nini tena mie 🤪😅Siyo swali tena hili, ni jibu 💯
Kumbe hauko serious na huu utafiti uchwara wako 😂Niliwasahau wapi hivi vitu??
Tanga inasimama namba mojaHivi unaweza kusema wachagga na wapare wana uchawi kweli wakati wasukuma wangine mpaka leo wanateka albino! Kigoma na sumbawanga kumejaa uchawi
Africa na superstition ni pete na kidole. Kama vipi, wewe sepa zako kwa Wazungu!1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.
2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na maendeleo .
Usijitambue yaani wakipeleka jina lako kwa mizimu yao kwisha upo upo tu .
Wajinga hawa . Hawapendi wenzi wao wawapite kwangu hiki nikisa cha kweli.
WAchukua nyota za wenzi wao nakuzitumia .
Jingine wao wanajua kunyapia chochote kizuri cha mwenzi wao wapo tayari kuwa na wanawake tofauti kukusanya riziki zao na nyota zao . Wakimya na hawapendagi kukuonyesha dalili yeyote ya mipangilio yeyote.
Hawana huruma huwa kufanikisha ndoto zao ilimradi familia yake ipate matunzo. Sio familia ya kwenye ndoa alipozaliwa .
Wachagga wanamila na desturi za kishirikina sana matambiko yao ni ya kifreemanson sana hadi inatisha akijua nyota yako nzuri anaichukua na kuitumia kwa mambo yake na hutojua .
Kabila lingine ni wambulu . Wao wanapenda kuteka watua akili wapo kama wapare .
Ni wachawi sana hawapendi wenzi wao wawasaidie familia alikozaliwa .
Ni yeye tu na ndugu zake .
Hawajatulia .
Hata kidogo . Wao wanawake kila daily .
Wakurya wao wanapenda kuweka kinyongo , hawajiamini wanaweza kuua mtu kisa kutomuamini mwenzi wake . Anampiga mwanamke kila daily
Hadi wanaua kwa wivu .
watu wakigoma na waluguru hawa ni balaa hawa watu ni wana roho mbaya sana .
Wachawi mnooo.
Hata wasukuma japo hao wanapenda wake zao ila kwa uchawi basi tu . Yaani wachawi .
NA wengine wanyakyusa .....
Nakusubiri sana, hasira zako zote za ujobless uzilete huku😁Ww Tulia tuu, soon ntakushangaza 😂
Anakanda sio poa😂Mchawi wa utumishi nae kiboko 🙌 tumemshindwa 😂
Em ngoja npumzike mana nimetoka kulima shamba la babuNakusubiri sana, hasira zako zote za ujobless uzilete huku😁
Labda ka Mshana Jr ila sio huyu Mgonga ulimbo Jr nakataa 😂
Mbona wana roho mbaya sana🙆🏽♀️Hawa wakila kuku wanaugua , ni wachungu wanaongoza kwa vidonda vya tumbo kisa maharage kwa wingi , makandee , mboga za majani .
Fikiria mtu amejifungua anapikiwa ugali wamoto na mlendaa jamani wanasema eti mlenda unaongeza maziwa ya mtoto huonagi asilimia kubwa ni wamesinyaa ndio maana wengi wao ni wajanja maana hawana afya
Shamba la wachawi sio! Mnalala asubuhi wachawi kama kawaida yenu😅Em ngoja npumzike mana nimetoka kulima shamba la babu
Mi ni mnyakyusa, mhaya, mhehe na mpare wa kuchovya.Mbali na kwamba me ni mchaga OG,
Nimezaliwa same na kusoma primary pale same, hawa jamaa kuhusu uchawi hawajasingiziwa
Hawa jamaa hapa chini wote ni wapare watakuja kujazia
Mbaga Jr
Vishu Mtata
Extrovert
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli