Mnyaki aliyelelewa uchagani 🤣Kiaje😁
Mmeukoleza.Halafu Kiki za pesa ushirikina kwa sasa tumewaachia wakinga wa iringa shindii
😆😆😆 nililewa kwa wa nyambo na wahaya nikaacha mbegu😅 ,mchaga mwenye chotara yako lazima awe pisi 😋😋😋Mnyaki aliyelelewa uchagani 🤣
Shindii kwa hiyo nani mshirikina?Mmeukoleza.
Kumbe basi haujalelewa uchagani. Wewe ni chasaka🤣🤣🤣😆😆😆 nililewa kwa wa nyambo na wahaya nikaacha mbegu😅 ,mchaga mwenye chotara yako lazima awe pisi 😋😋😋
Wewe.Shindii kwa hiyo nani mshirikina?
Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni ArushaKumbe basi haujalelewa uchagani. Wewe ni chasaka🤣🤣🤣
Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni ArushaKumbe basi haujalelewa uchagani. Wewe ni chasaka🤣🤣🤣
Hapa unatusingizia tu huenda kuna watu unawafahamu wewe wanaoenda huko kumsabahi huyo mganga ila sio wote! Nimezaliwa usukumani sijawahi kuona hayo mambo pande zote mbili za kwetu!Anyways Kila Kabila Lina Mapungufu yake ambayo kwao huyaona ya Kawaida mpaka Mtu wa Pembeni aje awaambie Nyie Mpo Tofauti sana. Kuna makabila UCHAWI kwao ni kama Wanaenda Kanisani. Mganga Mpya akijitokeza Ukoo mzima Lazima wakasamsabahi huyo Mganga (SUKUMA Tribe )
Kwa hiyo Kama Unataka Kuolewa kwa kuangalia makabila utazeeka mtaani
Hahaha huyu dada yetu ana matatizo yake tokea ya muda mrefu ya kuamini uchawi kuchukuliwa nyota nk.Hivi Pendaelli umeingia huku leo?🤣🤣🤣
Anaumwa nini?Hujapona bado we binti!!
Basi hapo nimekumanya kabisa🤣Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni Arusha
Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni Arusha