Makabila ambayo bora uwe single

Makabila ambayo bora uwe single

Jf usipokuta mchaga anasakamwa, sasa napo wamegeukià kwa wasukuma hatare sana.......
 
Sijui kuhusu uchawi wa wachaga ! Ila najua mijamaa kwenye pesa hawataki mchezo hata magendo wanapiga! Halafu ukimuona kama hana kitu na RAV4 yake old model, kumbe benki kibunda kipo
 
Oyaa mbona mnantisha, kwahyo nsiende shinyanga? Japo ni church girl wanangu🤔
 
Back
Top Bottom