Majina ya bar

Majina ya bar

Leo Tupo Hapa Pub ..............Iko Mwananyamala Mwinjuma
 
Iko moja pale Mikumi "Internet Bar". hakuna internet hapo, ni vinywaji na nyama choma.
 
MKuu hiyo website ipo kule Mwisho wa RELI Kigoma. Zamani kidogo ilikuwa ni eneo mahususi kwa wafanyakazi wa mashirika ya UN yaliyokuwa yanasupport wakimbizi. Neno website nadhani lilitokana na maana na makutaniko...meeting point baaada ya kazi. Inawezekana hakumaanisha tovuti/wavuti

Kigoma moja! umenikumbusha mbali kweli.
 
Private pub ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,tabata segerea
 
Mtakuja bar,Dodoma.
Chako ni chako,Dodoma.
 
Sinza White Inn Area kuna Bar ilianzishwa ikaitwa SHIKAMOO PUB akaja mpinzani akaanzisha pembeni yake tu MARHABAA PUB! Wadau wote wakahamia MARHABAA.
 
Neno haliwi na maana hadi ulipe maana.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
full doze pub, ipo mabibo karibu na nit.
 
Back
Top Bottom