Majina ya bar

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
c4.jpg

Hapa wanatengeneza web site?
 
****** bar...[arusha night park},msukule pub iko sokoni one,toroka nyumbani pub iko kiboloroni
 
Matago Bar (kwenye g weka k tafadhali) ipo karibu na new Mic Hotel maeneo ya Ubungo N.H
 
Nijuavyo mimi kwa maana ya mitaani WEB SITE inamaana ya UKIMWI-yaani mtandandao ila sijajua wao walimaanisha hivyo au vipi? mie nawakilisha tu ila simo huko
 
MKuu hiyo website ipo kule Mwisho wa RELI Kigoma. Zamani kidogo ilikuwa ni eneo mahususi kwa wafanyakazi wa mashirika ya UN yaliyokuwa yanasupport wakimbizi. Neno website nadhani lilitokana na maana na makutaniko...meeting point baaada ya kazi. Inawezekana hakumaanisha tovuti/wavuti
 
asante kwa elimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom