Usiseme hakuna hela, sema huna hela

Usiseme hakuna hela, sema huna hela

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,390
Reaction score
29,038
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje maana najitahifi kuungaunga lakini wapi.hela inapatikanaje?
 
Zamani tuliimbishwa:
Karudi baba mmoja,Toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapanja,na kutetemeka mwili!
Watoto wake wakaja,ili kumtaka Hali
Kama mnataka Mali,mtayapata Shambani!
Aah wapi bila Soko la uhakika ni kuchemka tuu na kujilisha upepoo!
 
Kilimo kinahitaji fedha ili ukimudu.Unalima ili upate fedha.Sasa,uamuzi ni wako;Uanze na kilimo kwa kutumia fedha au utumie fedha ili ufanikishe kilimo.Jiulize,kipi unacho kimtafute mwenzake!
 
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje maana najitahifi kuungaunga lakini wapi.hela inapatikanaje?
Aiseeee wewe acha nipo huko kwenye madini kuna jamaa ana prant 30 na makongorosi anazo 30 na nime Kuta sehemu ana Jenga maabara ya kupima kiwango cha madini kwenye madini na miamba nilichoka kabisa kabisa.
 
Kwenye watu 100 kati yao 90 wakima hawana hela na 10 wana hela kitaalamu apo wote 100 wanakua hawana hela au kwenye watu 10 kati yao watu 8 wakiwa masikin na watu 2 wakiwa matajir apo kitaalamu hesabu itasema wote 10 ni masikini
 
Sasa kila mtu akiwa anasema hana hela, maana yake nini?
Si hela hakuna au?
 
Fanya kilimo na ufugaji ....then jiwekee long term strategies at least 5 years......
Ubaya wabongo mnataka mambo ya muda mfupi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom