SIMBA WA TARANGA
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 987
- 220
Barazani Bar....................... Ipo Babati.
usinikumbushe chako ni chako na kuku wa kienyeji.Mtakuja bar,Dodoma.
Chako ni chako,Dodoma.
usinikumbushe chako ni chako na kuku wa kienyeji.
sasa wakiandamana tutawapa wapi wengine wa kienyeji?hapo ni mahali ipo siku kuku wataandamana.
bonyeza bar & guest house ipo ubungo external
mkuu tz1 ile baa maarufu kwa kunyonga mbuzi inaitwa FYATANGA siyo Ifyatanga...
Kuna Zero Pub
Kuna Who Told You
Kuna If Not Why Not
Chezeya Baa za tegeta??
jana nilikuwa hapo wanachoma kitimoto nzuri sanafull doze pub, ipo mabibo karibu na nit.
Duuuuh Jf tuna wazefu wa kila aina.Acha kutudanganya wewe,hiyo ni guest moja bubu haina jina iko uchochoro unaoelekea PATAYA GUEST HOUSE pale maeneo ya ubungo riverside.kilichopo pale ni kengere iko pale mlangoni,ili kutoa maelekezo kwa wateja wao wameandika bonyeza hapa wakimanisha kengere.Pale hamna bia inayouzwa.
Mtakuja bar,Dodoma.
Chako ni chako,Dodoma.