Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

gwanseri

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
632
Reaction score
1,823
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba huko.
Majasusi wanaendelea kusema viongozi hutumika kama madalali na magenge mabaya ya kudhulumu nchi zao na ndio maana huingia mikataba mibovu ya muda mrefu na ambayo hainufaishi nchi zao wametaja afrika haimiliki chochote kuanzia mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, migodi, mashamba makubwa, wanasema afrika wamerudi kua watumwa kamili kuliko zamani.
Binafsi nampomgeza Traore kwa beji hiyo maalumu ya uaminifu kwa nchi yake
 
Dah ..
 
Tanzania haikosekani kwenye hiyo List. Soon Lisu naye atakabidhiwa beji kama hiyo
 
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba huko.
Majasusi wanaendelea kusema viongozi hutumika kama madalali na magenge mabaya ya kudhulumu nchi zao na ndio maana huingia mikataba mibovu ya muda mrefu na ambayo hainufaishi nchi zao wametaja afrika haimiliki chochote kuanzia mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, migodi, mashamba makubwa, wanasema afrika wamerudi kua watumwa kamili kuliko zamani.
Binafsi nampomgeza Traore kwa beji hiyo maalumu ya uaminifu kwa nchi yake

Amesema Polepole watatukimbia.

Bila shaka urai pacha wanaotuzuia sisi wao wanao na hizi birthday party zao Marekani si ajabu Wana majumba na investments lukuki kwa wajomba zao huko.

Futungo si watu wazuri.
 
Hili jambo mbona lipo wazi kabisa, na kila mwenye akili timamu anaweza kuona kirahisi tu.
 
Ndiyo maana tunaona utajiri unasombwa kuelekea Uarabuni!
 
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba huko.
Majasusi wanaendelea kusema viongozi hutumika kama madalali na magenge mabaya ya kudhulumu nchi zao na ndio maana huingia mikataba mibovu ya muda mrefu na ambayo hainufaishi nchi zao wametaja afrika haimiliki chochote kuanzia mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, migodi, mashamba makubwa, wanasema afrika wamerudi kua watumwa kamili kuliko zamani.
Binafsi nampomgeza Traore kwa beji hiyo maalumu ya uaminifu kwa nchi yake
Hatuwezi kujua hata sisi inawezekana tumepewa ya kwetu,maana waziri mkuu alikuwa karibuni,haya mambo ni ya siri,tusubiri na sisi siri ivuje...
 
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba huko.
Majasusi wanaendelea kusema viongozi hutumika kama madalali na magenge mabaya ya kudhulumu nchi zao na ndio maana huingia mikataba mibovu ya muda mrefu na ambayo hainufaishi nchi zao wametaja afrika haimiliki chochote kuanzia mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, migodi, mashamba makubwa, wanasema afrika wamerudi kua watumwa kamili kuliko zamani.
Binafsi nampomgeza Traore kwa beji hiyo maalumu ya uaminifu kwa nchi yake
Mkuu Kwa hili Mbona Rais wa Urusi (Putin) alishasema wakati mmoja nyuma kidogo kuwa Nuukuu " Kwa viongozi wengi wa Afrika.....Afrika kwa ni mahali pa kuzikiwa tu".

Aliendelea na na malezo yake kwa kusema Nanukuu.... "Wanafanya ufisadi mkubwa katika nchi zao na fedha zao za kifisadi wanazificha kwenye Ma benki ya ughaibuni (Arabuni, Ulaya na Marekan)....Wake zao wanazalia Ughaibuni, Watoto wao wana wasomeshea ughaibuni na wenyewe wakiumwa tu wanakimbizwa kutibiwa ughaibuni"......na hatimaye akahitimisha kuwa .... "Wanapokufia ughaibuni tu ndio utaona heka heka za kwenda kuwazikia kwao Afrika"

Kuna Wa Afrika wengi walimwita Putin kuwa ni Mbaguzi mara baada ya kauli yake hiyo. Mimi binafsi haikuniumiza ....Nilicheka sana na kunilishangaa kwani sikuwa najua kuwa Rais Putin alikuwa amewasoma Wa Afrika katika kiwango cha hali ya juu namna hiyo kwa usemi wake kuwa ...Nukuu..."Kwa viongozi wengi wa Afrika...."Afrika ni mahali pa kuzikiwa tu"
 
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba huko.
Majasusi wanaendelea kusema viongozi hutumika kama madalali na magenge mabaya ya kudhulumu nchi zao na ndio maana huingia mikataba mibovu ya muda mrefu na ambayo hainufaishi nchi zao wametaja afrika haimiliki chochote kuanzia mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, migodi, mashamba makubwa, wanasema afrika wamerudi kua watumwa kamili kuliko zamani.
Binafsi nampomgeza Traore kwa beji hiyo maalumu ya uaminifu kwa nchi yake
Bila kumsahau Mama
 
Leta hapa hiyo news link tuisome wenyewe. Siyo mnakura mapera mabishi na kuvuta bangi ndiyoanaanzisha nyuzi zizizo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom