Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

acha ushauri butu amwambie mkewe ndio alizue kabisa, ushauri mzuri ni kuuchuna tu hata kikao kikiitishwa komaa hukumbuki kufanya ivyo labda utaweka hinti kama nilikugusa ni kwa bahati mbaya ilikua ucku tunahangaika kufungua geti na nilikua nimelewa but certainly dont accept the faulty, sometime kwa wanawake kuto accept kosa ni njia sahihi na maisha yataenda vizuri zaid baadae kuliko ku accept hiii dhana ya kubali na apologise sio mda wote inafanya kazi ita ku cost sana, so ukimaliza ili soo basi tena mzee acha matani na shemej madem kibao mzee mpaka upata shemeji!!!
kwa malezi niliyolelewa mimi kusema ukweli na kukiri kitendo nilichokifanya na kuomba msamaha ndo hunipa amani moyoni nafsi huwa huru na huwa sijutii na hiyo huongeza degree za uaminifu kwa mwenzio. the more unakuwa mkaidi the more unapoteza trust ambayo mwenzio alikuwa anayo juu yako. na kumbuka unampa nafasi ya kuanza kukupeleleza na ipo siku ukweli utabainika tu.ndugu yangu ukweli haukimbiwi haufichwi haukwepeki ukijitahidi sana utachelewesha tu wakati wa huo ukweli kufahamika ila ujue itafahamika tu na nafsi yako itakuwa iki kuhukumu na majuto juu. Kukiri kosa na ukweli humfanya mtu kutojutia katika maisha yake yote tofauti na ukiuchuna hutajiamini na utakuwa na hofu kwamba ikija kubainika na hiyo hofu ndo upelekea huo ukweli ulio uchelewesha kubainika
 
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.

mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.

UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa

Sasa c hadi muwe club mnacheza kwani na pale mlikuwa mnacheza
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

yule dada uliyemshika ndo huyu?
 
Unaipenda ndoa yako au wife ni substance ya kuhakikisha umepikiwa na kufuliwa? Sidhani kwa mtu anayempenda mkewe na kumheshimu atakuja na hizi pumba hapa eti mbona tukienda club huwa namminya kabisa...! Kweli kuna men na boys in this world. Grow up
 
Una tamaa kama ya fisi hata kwa shemeji unatamani wakati milupo ipo kibao mitaani
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

Ha ha ha ha naona kidogo utoke kwenye Simu au sijui PC maana si mchezo!
Sema na nyie mnatutafutia Lawama saa nyingine kutuletea wadogo zenu nyumbani tuishi nao afu sasa unakuta mdogo mtu ni Kisu kuliko dada mtu! Unamlisha unampendezesha kwa kila kitu

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Kwani unaangalia uzuri au unaoa kupata shimo
 
Ngoja siku uje ushike makalio ya askari wa JW ambaye amekatwa robo tatu ya mshahara wake kulipia mkopo aliochukua benki, utaona utamu wake...
 
Huyo dada ana akili sana abarikiwe aishi miaka mingi tena Mungu aje ampe mume mwema sio kama aliyepewa dada yake. Hebu tubu hiyo dhambi kwa mkeo haraka.kama unataka amani ya moyo. Kuna mambo yanatia ukakasi namna ya kuyaelezea kwenye hadhira hata kama tunatumia ID feki. Sijui huu ujasiri watu mnaupataje

Yaani sijawah kukutana na ushauri hatarishi kama huu. Kwa hiyo akamwambie wife nlimshika mdogo wako masaburi???!!! Hapo ni kukomaa tu tena unaongeza ukauzu balaa, at least watu wanaweza wasimuamini.
 
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.

mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.

UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa

Naona mkuu unataka kula mke na shemeji,hii siyo sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom