Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

Wewe ni waajabu sana (sijui ni mtu wa aina gani, siyo Ustaarabu) !!! umesababisha kizaazaa kwa mwanamwari huyo, nakumpotezea ndoto ya mustakabali wa safari ya maisha yake. You are responsibo kwa litakalomkuta.
 
nlijua ulmshka pacpo kujua ukdhan mkeo kumbe ulkusudia!!....kwl huna haya alaf unadirik kupost ushauriwe nn xx...tpuuu
 
hahahahahahhahahahahha JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hahahahahahhahahahahha JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Lin, hapana JF siyo Oyee, abwanaaee kachafua hewa humu !! the worst thing Man to do so! (mtu yupo ktk. himaya yako halafu waleta ubazazi huo aaghrrrr) mila ya wapi hiyo?
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

Duuh huyu jamaa angekushika wewe hakika pange chimbika...
 
Kameseji kangezua balaa hako, bora alivosepa kimya kimya. Kubwa ni kumuombea uzima na amani huko aliko, asije kua kaenda kujirestisha in peace!

shida iliyopo sasa inamtosha....

uko salama naona lile swala wote tulisahau muda ukafika nikasahau kukwambia
 
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio. Alisimama kwa haraka, akaniangalia usoni kwa macho ya ukali, then nikaona machozi yana tiririka, akaondoka kwa speed kwenda chumbani kwake.

mimi nikafunga mlango nikaenda kulala. Asubuhi tumeamka tumekuta shemeji yetu kachukua kila kilicho chake na katimua. Hapokei simu yangu wala ya wife. Hajaacha ujumbe wala taarifa yoyote. Tumejaribu kuwapigia ndugu wa karibu ikiwa ni pamoja na wazazi wake kama wana hii taarifa lakini hakuna anayejua lolote. Mke wangu kaniuliza kama nilikwaruzana naye muda wa hivi karibuni lakini nikamwambia sijakwaruzana naye chochote. Huyu binti ni mpole na hanaga mambo ya mapepe kabisa.

UPDATES
ukweli tukio hili lilitokea out of my control. Ilitokea tu nikashika. Lakini mbona tukitokaga out, club huwa tunacheza pamoja na wakati mwingine na minya kabisa makalio. Kwa nini kushika tu mara moja this time iwe Shidaaaa

pole sana! ingekuwa ni mpira wa miguu tungesema hiyo ni "BALL TO HAND" na refa ana peta, sasa hiyo yako tuiiteje ni "makalio to hand" au "hand to makalio"?
 
Ulianzaje shika kalio lake? Huna adamu mbakaji tu weww nfyuuuuuu wanaume kama nyie nawatafuta nukuwanyonga tu.... mbakaji mdhalilishaji mkubwa huna adabu........ mbakaji nyambafu kabisa unatueleza tufanyaje we mbakaji mpuuuzi mkubwa wewe....... umeniharibia siku limbwa libeberu wewe..

Ngoja nikutafutie mguu wa kuku uli-ufoo saro kabisa hilo limbwa libeberu.
 
Mkiambiwa pombe ni haramu mnabisha!

Ungekuwa hujalewa usingethubutu kufanya hivyo.

Wala usiisingizie pombe hapa kwanza hajasema kama alikuwa amelewa na pili inaonekana huyo jamaa alipania siku nyingi kukamata hayo makalio ya shemejiye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom