Nakupongeza kwa Ujasiri na Moyo ulionao maana ulipovuka tu ukatoa taarifa ili kama kuna watu wanakuja wajihadhari, si watu wote wenye Ujasiri na Moyo kama huo.
thanks for the info. ila ukitulia naomba utuelezee vizuri ili iwe somo kwa sehemu nyingine nyingine. mfano waliweka vizuizi au ulifahamu vipi ni wezi? nk nk
Even you too. You're a gramatically wrong. You were supposed to type '' though you have got a point'' or '' you got a point''. Sorry kwa kukusahihis.lakini.
aaaaa pale ni eneo la jeshi kabisa pale why kunamajambazi?? au makali ya wanajeshi siku hizi yamepungua kwenye maeneo yao??
au mpaka aje aporwe bosi wao ndio wataamka??
Wiki mbili zilizopita ucku mida ya saa 4.walikamatwa wawili ambao walitambuliwa na dereva tax,waliomwibiaga ,inatakiwa pawekwe taa pale pote.hii inaweza saidia
Its true nilisikia hata ile ajali ya gari lililotumbukia chanzo ni hao jamaa waliziba njia ya daraja dereva akatafuta alteenative masikini akakosea ikawa ndio hivyp tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.